Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet

robinbet

robinbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

betwoon

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

avrupabet giriş

kingroyal

avrupabet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

padişahbet giriş

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet giriş

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

imajbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

imajbet

betface

betface

imajbet giriş

casibom

Uncategorized

FURSA YA ELIMU YA FEDHA YAWAFIKIA WANANCHI SHINYANGA.

Written by mzalendo
Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Prof. Siza Tumbo, akizungumza na watalamu wa kutoa elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), na watumishi wengine wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, walipofika ofisini kwake kumweleza lengo la ujio wao na maeneo wanayotarajia kutoa elimu ya fedha katika Mkoa huo.
Afisa Usimamizi wa Fedha, kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava, akimkabidhi Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Pro.  Siza Tumbo, Nyenzo ya kufundishia elimu ya fedha, walipofika ofisini kwake kujitambulisha.
Afisa Usimamizi wa Fedha, kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava, akizungumza kwa niaba ya wataalamu wa kutoa elimu ya fedha (hawapo pichani), kutoka Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), baada ya wataalamu hao kufika ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bw. Anamringi Macha, kabla ya kuelekea Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Mkoani Shinyanga kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha kwa wananchi.
Afisa Usimamizi wa Fedha, kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava, akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bw. Anamringi Macha, nyenzo ya kufundishia elimu ya fedha, mara baada ya kuwasili katika Mkoa wa Shinyanga ambapo baada ya zoezi hilo, timu ya wataalamu wa kutoa elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wakiambatana na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa walielekea katika Kata mbalimbali za  Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kutoa elimu ya fedha.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bw. Anamringi Macha (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Wataalamu wa kutoa elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha wakishirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wakiongozwa na Afisa Usimamizi wa Fedha Kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava (watatu kushoto), Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Mwile Kauzeni (watatu kulia), pamoja na Maafisa wengine kutoka Wizara ya Fedha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava, akitoa ufafanuzi kuhusu filamu ya elimu ya fedha iliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kabla ya kuwawekea wananchi wa kata ya Iselamagazi Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, mkoani Shinyanga, filamu hiyo yenye maudhui kuhusu umuhimu wa kuweka akiba, matumizi sahihi ya fedha na utunzaji wa fedha binafsi, uwekezaji sehemu sahihi na salama, mambo ya kuzingatia wakati wa kukopa,
 
Baadhi ya wajasiriamali na wananchi wa kata ya Iselamagazi Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, mkoani Shinyanga, wakipata elimu ya fedha kwa njia ya filamu yenye maudhui kuhusu matumizi sahihi ya fedha, umuhimu wa kupanga  bajeti na kuitekeleza, umuhimu wa kusajili vikundi vya huduma ndogo za fedha (Vikoba), utunzaji wa fedha binafsi, umuhimu wa kushirikisha familia na watu wa karibu kwenye masuala ya fedha na uwekezaji, umuhimu wa kukata bima ya biashara na mali nyingine, filamu hiyo imeandaliwa na Wizara ya Fedha lengo likiwa ni kusambaza elimu ya fedha kwa njia rahisi ya burudani ili kuhakikisha wananchi wanapata uelewa wa masuala ya huduma za fedha.
 
Picha za matukio mbali mbali ya mafunzo ya elimu ya fedha katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga, elimu hiyo ya fedha ilianza kutolewa maeneo ya mijini kupitia maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha kwa Mikoa ya Dar Es Salaam, Mwanza na Arusha, ambapo kwa sasa programu hiyo imejikita kuwafikia wananchi wote kwa lengo la kuwaongezea uelewa wa masuala ya fedha ili waweze kufanya maamuzi sahihi katika mahitaji na matumizi ya Huduma za Fedha maeneo mengine yaliyofikiwa ni pamoja na Mkoa  wa Manyara, Singida, Kagera, Rukwa, Kigoma, Tabora, Simiyu na sasa ni zamu ya Mkoa wa Shinyanga.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha-Shinyanga).
……..
Na Asia Singano, WF, Shinyanga.
 
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga, wamepata fursa ya kujifunza elimu ya fedha kuhusu uwekezaji, matumizi sahihi ya fedha binafsi, utunzaji wa fedha binafsi, mambo ya kuzingatia kabla ya kuchukua mikopo, faida ya kuwekeza kwa ajili ya maisha ya uzeeni na kustaafu ili kufanya maamuzi sahihi wanapotumia huduma za fedha na kukuza uchumi.
 
Akizungumza kuhusu maeneo yatakayofikiwa katika mkoa wa Shinyanga, Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava, aliwaomba wananchi kutoa ushirikiano kupata elimu ya fedha kutokana na umuhimu wa elimu hiyo katika kukuza uchumi wa wananchi na nchi kwa ujumla.
 
‘’Wizara ya Fedha inaendelea na kutoa elimu ya fedha, na kwa sasa tupo katika Mkoa wa Shinyanga, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, baada ya hapa tutaelekea katika Wilaya nyingine za Msalala, Ushetu pamoja na Kahama, hivyo tunatoa wito kwa wananchi maeneo ambayo tutapita wajitokeze kwa wingi’’ Alisema Bi. Mnzava
 
Awali, kabla ya mafunzo hayo, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bw. Anamringi Macha, aliwataka wananchi wa Mkoa wake kushiriki vyema katika mafunzo hayo kutokana na wananchi wengi mkoani humo kujihusisha na mikopo bila kuzingatia malengo hali inayosababisha kupata migogoro ya kifamilia mpaka kupoteza mali zao.
 
“Jamani! Watu wanaandikishwa kwenye mikopo bila mpangilio, utasikia niandikishe hata kabla hajajua mkopo una riba kiasi gani, akisikia tu kuna gari inatoa mikopo hapa kabla hajafika anapiga simu niandikishe anachukua mkopo bila malengo kwahiyo watumie elimu hii kama fursa’’ alisisitiza Bw. Macha.
 
Kwa upande wake Bi. Anastazia Elias mmoja wa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga aliyeshiriki mafunzo ya elimu ya fedha, alisema elimu ya fedha kwake ni jambo geni na anaipongeza Wizara ya Fedha kwa kumfungua macho katika suala zima la kuweka akiba na matumizi ya fedha kwa ujumla huku akiomba zoezi hilo liwe endelevu.
 
“Mimi kwanza sijawahi kuona lakini nimeona leo, elimu ya fedha imenipa mwanga mkubwa sana, maana maisha yetu tulikuwa tunayaendesha kibubu, hii huduma iendelee kutolewa zaidi maana sisi wanawake unakopa laki moja unafika nyumbani alfu thalathini yote imeisha kabla ya malengo uliyokopea’’ alisema Bi. Anastazia.
 
Naye Buhohela Shija, alisema kuwa kabla ya mafunzo hayo wananchi wengi hawakuwa na uelewa kwenye masuala ya fedha hivyo elimu hiyo ni vyema ikaendelea kutolewa kwa wananchi wote.
 
“Natoa shukrani zangu za dhati kwa ugeni huu wa Wizara ya Fedha kuja kutuletea elimu stahiki tumejifunza vya kutosha kuhusu uwekaji akiba maana watu wengi hatuna hiyo elimu’’ Alisema Bw. Shija
 
Wizara ya Fedha itaendelea kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa Mikoa yote nchini kwa kuwa ni moja ya mpango wake wa kuhakikisha wananchi wote wanapata uelewa kuhusu huduma za kifedha ikiwemo masuala ya akiba, mikopo na uwekezaji.

About the author

mzalendo