Featured Kitaifa

BUNGE LA TANZANIA LASHIRIKI MAONESHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Written by mzalendo

Afisa wa Bunge Ndg. Zuhura Mtatifikolo akielekeza jambo wakati akitoa elimu kwa umma uliotembelea banda la Ofisi ya Bunge katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma

Afisa wa Bunge Ndg. Omary Machunda akielekeza jambo wakati akitoa elimu kwa umma uliotembelea banda la Ofisi ya Bunge katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma

Afisa wa Bunge Ndg. Rai Kalinga akielekeza jambo wakati akitoa elimu kwa umma uliotembelea banda la Ofisi ya Bunge katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Morogoro Baptist ya Mjini Morogoro wakifurahia Siwa ya Mfano mara baada ya kutembelea banda la Ofisi ya Bunge katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma.

About the author

mzalendo