Featured Kitaifa

RAIS WA IPU DKT.TULIA ASHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI DKT SHOGO MLOZI

Written by mzalendo
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 17 Juni, 2024 amewasili Hanang Mkoani Manyara kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Dkt. Shogo Mlozi, aliyefariki Dunia tarehe 13 Juni, 2024

   

About the author

mzalendo