Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet

robinbet

robinbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

betwoon

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

avrupabet giriş

kingroyal

avrupabet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

padişahbet giriş

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet giriş

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

imajbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

imajbet

betface

betface

imajbet giriş

casibom

Featured Kitaifa

WENYE ULEMAVU, WANAWAKE, VIJANA WAHAMASISHWA KUJIANDIKISHA KUWA WAPIGA KURA

Written by mzalendo

Mjumbe wa Tume, Jaji (Rufaa) Mhe. Mwanaisha Kwariko akizungumza wakati akifungua mkutano wa Tume na wawakilishi wa watu wenye ulemavu, uliofanyika leo tarehe 11 Juni, 2024 jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Alifungua Mkutano huo  kwa niaba ya Mwenyekiti wa Tume, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kisheria wa Seleman Mtibora akiwasilisha mada kwenye mkutano wa kwa niaba ya  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, na kusema uboreshaji wa daftrai pamoja na mambo mengine utahusu kuandikisha wapiga kura wapya ambao ni raia wa Tanzania wenye umri wa miaka 18 na zaidi na watakaotimiza umri huo ifikapo tarehe ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. 

Na. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa wito kwa makundi mbalimbali katika jamii wakiwepo watu wenye Ulemavu, wanawake na vijana kutumia majukwaa, taasisi na mashirika yao kuhamasishana kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
 
Wito huo umetolewa na Mjumbe wa Tume, Jaji (Rufaa) Mhe. Mwanaisha Kwariko kwa niaba ya Mwenyekiti wa Tume, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele wakati akifungua mkutano wa Tume na wawakilishi wa watu wenye ulemavu, uliofanyika leo tarehe 11 Juni, 2024 jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
 
Mkutano huo umefanyika sambamba na mkutano wa Tume na wawakilishi wa wanawake na wawakilishi wa watu vijana ikiwa ni mwendelezo wa mfululizo wa vikao kama hivyo vilivyofanyika kuanzia tarehe 07 Juni, 2024.
 
Jaji Mwanaisha Kwariko alisema  Wawakilishi wa watu wenye ulemavu mnayofursa ya kuwahamasisha wenzao kwenye majukwaa yao. 
 
“Hivyo, nawasihi na kuwaomba kwa dhati mtumie fursa hizo wakati wote mnapotangaziana mambo mbalimabli, moja ya matangazo yawe kuwahamasisha watu wenye ulemavu kujitokeza kujiandikisha kuwa wapiga kura,” amesema Jaji Kwariko. 
 
Jaji Kwariko amewashukuru wawakilishi wa watu wenye ulemavu kwa ushirikiano mkubwa ambao wameuonesha kwa Tume wakati wa utekelezaji wa majukumu yake. 
 
“Kwenye mazoezi ya uboreshaji wa Daftari yaliyopita, watu wenye ulemavu mmekuwa msaada mkubwa katika kuhamasisha na kuelimisha wananchi haswa kundi lenu la watu wenye ulemavu kupitia majukwaa mbalimbali,” amesema.
 
Pia, amewashukuru watu wenye ulemavu kwa kujitokeza kwa wingi kiasi ambacho kimeiwezesha Tume kufikia malengo yake ya kuandikisha wapiga kura na kuwaomba waendelee na utamaduni huo.
 
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kisheria wa Seleman Mtibora akiwasilisha mada kwenye mkutano wa kwa niaba ya  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima R. K amesema uboreshaji wa daftrai pamoja na mambo mengine utahusu kuandikisha wapiga kura wapya ambao ni raia wa Tanzania wenye umri wa miaka 18 na zaidi na watakaotimiza umri huo ifikapo tarehe ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. 
 
Ameongeza kuwa zoezi hilo pia litatoa fursa kwa wapiga kura waliopo kwenye daftari na ambao wamehama, waweze kuhamisha taarifa zao kutoka Kata au jimbo walioandikishwa awali. 

About the author

mzalendo