Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WAZIRI MASAUNI AWATAKA ASKARI KUVITENDEA HAKI VYEO

Written by mzalendo

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimkabidhi hati ya kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji, Naibu Kamishna wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi, baada ya kula kiapo kuwa mjumbe wa tume, leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimkabidhi hati ya kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji, Mkurugenzi Msaidizi wa tume hiyo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, George Mwansansu, baada ya kula kiapo kuwa mjumbe wa tume, leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Miriam Mmbaga (kulia) pamoja na Watumishi wengine wa Wizara hiyo wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), wakati wa Kikao cha Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga (kulia), Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimaliwatu, Suzan Kaganda (kushoto),  Kamishna wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Jeshi la Magereza, Jeremiah Katungu (katikati) wakifuatilia kwa kina mjadala wakati wa Kikao cha Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala (kushoto), Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Hassan Ali Hassan (katikati), Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza (kulia) wakifuatilia mjadala wakati wa Kikao cha Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni amewataka Askari na Maafisa wa Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya wizara hiyo kutenda kazi kwa kufuata haki na uadilifu katika kuwahudumia wananchi baada ya Askari na Maafisa  hao kupandishwa vyeo na Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan hivi karibuni.

Ameyasema hayo,leo jijini Dar es Salaam wakati akifungua Kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji ambapo kwanza amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa upandishaji huo ambao ulikoma  takribani kwa  miaka mitano.

‘Ni Imani yangu sasa kwamba mashauri yote yaliyokuwa hayajashughulikiwa sasa tume itaweza kuyashughulikia lakini sasa niungane na Mkurugenzi wa Tume hii kumshukuru sana Amiri Jeshi Mkuu,Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa upandishaji vyeo ambao aujaacha askari hata mmoja kuanzia ngazi ya chini mpaka juu sasa nendeni mkavitendee haki vyeo hivyo,haki uenda na wajibu naombeni mkawe waadilifu na mkafanye kazi alizokusudia Mheshimiwa Rais ya kuzuia na kupambana na uhalifu,huko chini vilio ni vingi nendeni mkavisikilize na mvitafutie ufumbuzi’.alisema Waziri Masauni

Akizungumzia moja ya changamoto alizokumbana nazo wakati akifanya ziara katika vyombo,Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo aligusia hoja iliyoibuliwa na askari mbalimbali wa Jeshi la Magereza waliokua wakiulizia zoezi la upandishaji vyeo ambalo ulipita muda mrefu bila kupandishwa vyeo na sasa anashukuru kuona hoja hiyo imefanyiwa kazi.

Akizungumzia zoezi hilo la Upandishwaji vyeo Mkurugenzi Msaidizi wa tume hiyo,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi,George Mwansasu alitaja idadi ya waliopandishwa vyeo,Jeshi la Polisi Maafisa Wandamizi waliopandishwa ni 154,Zimamoto na Uokoaji Maafisa Wandamizi 11,Jeshi la Uhamiaji waliopandishwa ni Maafisa Waandamizi 50 na Jeshi la Magereza waliopandishwa ni 50.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu wa wizara hiyo,Miriam Mmbaga akiweka wazi juu ya kuongezeka kwa ufanisi wa utendaji kazi baada ya kuongezeka kwa rasilimaliwatu ambayo katika vyombo vya usalama upandishwaji vyeo huo unaendana na utoaji na usimamizi wa majukumu katika shughuli zao za kila siku.

About the author

mzalendo