Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

casibom

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat sınırsız giriş

maxwin

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

maxwin

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

holiganbet

maxwin

vdcasino

Featured Kitaifa

RC RUKWA AAGIZA VIKUNDI VYA HUDUMA ZA FEDHA MKOANI RUKWA KUJISAJILI

Written by mzalendo

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Bw. Charles Makongoro Nyerere, akiongea na waandishi wa Habari (hawamo pichani) kuhusu umuhimu wa usajili na utoaji elimu ya fedha kwa watoa huduma Ndogo za fedha katika Ukumbi Mdogo wa Mikutano wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga Mjini.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Bw. Charles Makongoro Nyerere (kushoto) akipokea kitabu cha nyenzo ya kufundishia Elimu ya Fedha kutoka kwa Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bw. Salim Kimaro (kulia) katika Ukumbi Mdogo wa Mikutano wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga Mjini.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Bw. Charles Makongoro Nyerere, aliyeketi akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya utoaji Elimu ya Fedha mara baada ya kumalizika kwa mkutano na waandishi wa Habari uliofanyiaka Ukumbi Mdogo wa Mikutano wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga Mjini.

Timu ya Wataalamu ya utoaji wa Elimu ya Fedha Pamoja na baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Bw. Charles Makongoro Nyerere (hayumo pichani) wakati wa mkutano na waandishi hao katika Ukumbi Mdogo wa Mikutano wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Wilaya ya Sumbawanga Mjini.    

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha, Rukwa)

Na. Eva Ngowi – Rukwa

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Bw. Charles Makongoro Nyerere, amewataka watoa huduma ndogondogo za fedha Mkoani mwake wasajili huduma zao za kifedha kwa mujibu wa Sheria ya Fedha ya Mwaka 2018, na kuwaelekeza watoe elimu kwa wateja wao kabla ya kuwakopesha.

Bw. Charles Makongoro Nyerere ametoa maagizo hayo wakati wa kikao na Waandishi wa Habari katika Ukumbi Mdogo wa Mikutano wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga Mjini.

“Ndugu wanahabari; watoa huduma ndogo za fedha ni watu muhimu katika mkoa wetu wa Rukwa na Taifa kwa ujumla. Pamoja na umuhimu huo naagiza kuwa watoa huduma ndogondogo za fedha wote mkoani Rukwa wasajiliwe kwa mujibu wa sheria” Alisema Bw. Makongoro.

Bw. Makongoro alisema kuwa sambamba na zoezi la kusajili vikundi vidogovidogo vya huduma ndogo za fedha, ni vyema pia kwa watoa mikopo kutoa elimu kwa wanaowakopesha na kuwapa muda wa kuelewa mikataba kabla ya kuwapa mkopo.

“Mtoa huduma za kifedha toa elimu kwa yule unayetaka kumkopesha kuhusu huduma yako kabla ya kumkopesha. Na hili liende sambamba na wanaokopeshwa kupewa muda wa kutosha kusoma mikataba yao na kuielewa vizuri kabla ya kumkopesha, usimshtukize ule mkataba mpe muda ausome auelewe ndio umkopeshe.” Alisisitiza Bw. Makongoro.

Vile vile alitoa rai kwa Wakuu wa Wilaya wote wa Mkoa wa Rukwa kuwa wahakikishe wanasimamia maelekezo yake kuanzia ngazi ya Vijiji, Kata, Tarafa pamoja na Halmashauri zote.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Bw. Charles Makongoro Nyerere, alihitimisha kwa kuwaomba wananchi wote wa Mkoa wa Rukwa kutoa ushirikiano ili kuwabaini wale wote wanaotoa huduma za fedha kinyume na utaratibu wa kisheria ili waweze kuchukuliwa hatua za kisheria.

Aidha, aliwashukuru wataalam kutoka Wizara ya Fedha kwa kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa mkoa wake katika Wilaya na Halmashauri zake zote.

About the author

mzalendo