Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO AKITETA BUNGENI NA NAIBU WAZIRI MKUU

Written by mzalendo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni jijini Dodoma leo tarehe 03 Juni, 2024. Leo Mhe. Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Mazingira Duniani.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Naibu Waziri wake Mhe. Khamis Hamza Khamis wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni jijini Dodoma leo tarehe 03 Juni, 2024.

About the author

mzalendo