slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

google porn hacked

hardcore porn

hardcore porn anal porn google admin porn

pusulabet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

imajbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

rinabet, rinabet giriş

aresbet, aresbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

taksimbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

jojobet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli giriş

slot siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

tarafbet

güvenilir slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

betgar, betgar giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

casibom

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

marsbahis

pusulabet

pusulabet

grandpashabet

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

vdcasino

Hacklink panel

jojobet yeni adres

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

pusulabet

bahsegel

bahsegel giriş

pokerklas

pokerklas

kingroyal

casibom

Featured Kitaifa

RC SHIGHELLA AHIMIZA JAMII UTAMADUNI WA UPANDAJI MITI

Written by mzalendo

Mkuu wa mkoa wa geita, mhe. Martine Shighella akipanda mti katika eneo la Hospitali ya Rufaa Kanda ya Chato wakati wa maadhimisho ya siku ya kitaifa ya usafi wa mazingira tarehe 1 juni, 2024. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mhe. Said Mkumba na Mbunge wa Chato, Mhe. Medard Kalemani

Na Mwandishi Wetu,Chato- Geita

MKUU wa Mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigella amehimiza jamii kujenga utamaduni endelevu wa kupanda miti kwani kwa sasa ni fursa ya kibiashara inayolenga kukuza kipato cha kaya, familia na taifa kwa ujumla.

Mhe. Shigella ametoa rai hiyo tarehe 1 Juni, 2024 Wilayani Chato Mkoani humo wakati wa zoezi la usafi wa mazingira lililofanyika katika eneo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda- Chato ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani itayofanyika tarehe 5 juni mwaka huu.

Mhe. Shigella amesema uhifadhi wa mazingira inaenda sambamba na zoezi la upandaji miti ambapo kwa sasa kumebua fursa ya biashara ya kaboni na hivyo kuhimiza jamii kupanda miti kwa wingi katika maeneo yao ili kuweza kujiongeza kipato. 

Ameeleza kwa sasa mti ni fursa ya kibiashara kwani ukipandwa na kustawi unaongeza kipato kupitia kaboni na kuwataka wananchi kuchangamkia fursa hiyo ambayo pia itatimiza dhamira ya kupanda miti milioni 1.5 kwa mwaka katika kila halmashauri inafikiwa na kuhimiza wajibu kwa viongozi na watendaji wa Serikali kusimamia utekelezaji wa maagizo hayo.

Kwa mujibu wa Shighella ameeleza kuwa suala la upandaji miti kwa sasa limepewa msukumo na kipaumbele na Serikali ya Awamu ya Sita ambapo kwa kutambua umuhimu huo, Serikali imeandaa kanuni na miongozo ya usimamizi wa biashara ya kaboni inayolenga kuwanufaisha wananchi.

Amefafanua kuwa ili kufikia malengo ya upandaji miti ni wajibu wa kila mwananchi kuhakikisha anajenga utamaduni wa kupanda miti katika maeneo ya makazi, ikiwemo nyumba za ibada, maeneo ya masoko, vituo vya afya n.k.

Aidha Shighella ameeleza kuwa kutokana na fursa zilizopo kupitia kaboni, Mkoa huo upo mbioni kuandaa mkutano wa wadau wa mazingira ikiwahusisha viongozi wa serikali na wawakilishi wa wananchi ili kujadiliana mbinu na mikakati inayolenga kuwanufaisha wananchi. 

Pia Mhe. Shighella amewasihi wananchi kuachana na shughuli zisizo endelevu ikiwemo uchimbaji holela wa madini ambao umekuwa ukisababisha athari kwa mazingira ikiwemo ukataji miti na kuwahimiza wasimamizi wa maeneo ya migodi kuhakikisha wanapanda miti ili kurejesha na kutunza uoto wa asili.

“Tuna wajibu wa kurejesha na kutunza uoto wa asili uliopo nchini kwani utunzaji wa  mazingira ni jambo muhimu linalobeba mustakabali wa maisha ya vizazi vya sasa na vijavyo sambamba na kutunza mifumo ekolojia iliyopo majini na ardhini” amesema Shigella.       

Kwa upande wake, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja ameupongeza Mkoa wa Geita kwa juhudi mbalimbali inazoendelea kuzifanya katika kusimamia masuala ya uhifadhi na usimamizi wa mazingira ikiwemo usafi na upandaji miti.

Ameongeza kuwa uwepo wa changamoto ya mabadiliko ya tabianchi umeibua fursa ya kipato na kiuchumi kwa jamii kupitia kaboni inayotokana na faida ya upandaji miti, ambapo kwa kutambua umuhimu huo, Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa kuandaa kanuni na miongozo ya usimamizi wa biashara hiyo.

Mhandisi Luhemeja amesema ili kuhakikisha jamii inanufaika na fursa zilizopo katika kaboni, Serikali imeendelea kutoa elimu kwa viongozi wa serikali za mitaa, wabunge na makundi mbalimbali wakiwemo wawekezaji.  

“Miti kwa sasa ni biashara hivyo kutokana na umuhimu uliopo, Serikali inahamasisha biashara ya kaboni……Kuelekea Siku ya Mazingira Duniani Juni 5 mwaka huu tutatoa hundi ya shilingi Bilioni 14 kwa halmashauri ya Tanganyika, Mkoani Katavi ambayo inafanya biashara hii” amesema Mhandisi Luhemeja.   

Nae Mbunge wa Chato, Mhe. Medard Kalemani ameishukuru Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kuichagua Wilaya hiyo kuongoza shughuli za usafi wa mazingira katika Mkoa wa Geita na kueleza viongozi na watendaji wamejipanga vyema kutekeleza kwa vitendo dhamira ya Serikali ya kupanda miti na kusimamia usafi wa mazingira.

“Wilaya ya Chato tumejiwekea mkakati kwa kuhakikisha tunapanda miti isiyopungua 1000 kwa mwaka ili kutunza mazingira na tayari tuna msitu wa Silayo ambapo hadi sasa tumepanda miti ekari 98,000 na miti yote ipo katika hali nzuri na inaendelea kutunzwa” amesema Mhe. Kalemani.  

Tarehe 5 Juni ya kila mwaka Tanzania huungana na Jumuiya ya Kimataifa katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani. Kauli Mbiu ya Siku ya Mazingira Duniani mwaka 2024 inasema “Urejeshwaji wa Ardhi, Ustahimilivu wa Hali ya Jangwa na Ukame”

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja akibadilisha mawazo na KatiBu Tawala Mkoa wa Geita Bw. Mohamed Gombati muda mfupi kabla ya kuanza kwa zoezi la usafi wa mazingira katika eneo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda- Chato wakati wa maadhimisho ya siku ya usafi wa mazingira.

 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja akipanda mti katika eneo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda- Chato Mkoani Geita ikiwa ni maadhimisho ya siku ya usafi wa mazingira nchini.

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigella akiwasha mashine maalum ya kukata majani tayari kuanza zoezi la usafi wa mazingira katika eneo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda- Chato Mkoani Geita ikiwa ni maadhimisho ya siku ya usafi wa mazingira kitaifa tarehe 1 Juni, 2024. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi, Cyprian Luhemeja.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja akifanya usafi wa mazingira katika eneo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda- Chato Mkoani Geita tarehe 1 Juni, 2024 ikiwa ni maadhimisho ya siku ya usafi wa mazingira kitaifa.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja (kulia) akiwa pamoja na Katibu Tawala Wilaya ya chato Mkoani Geita, Bw. Thomas Dimme (kushoto) wakifanya usafi wa mazingira katika eneo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda- Chato ikiwa ni maadhimisho ya kitaifa ya usafi wa mazingira nchini

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja (kulia) akiongozana na Katibu Tawala Mkoa wa Geita Bw. Mohamed Gombati kufanya usafi wa mazingira katika eneo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda- Chato Mkoani Geita ikiwa ni maadhimisho ya siku ya usafi wa mazingira kitaifa.

Mkuu wa mkoa wa geita, mhe. Martine Shighella akipanda mti katika eneo la Hospitali ya Rufaa Kanda ya Chato wakati wa maadhimisho ya siku ya kitaifa ya usafi wa mazingira tarehe 1 juni, 2024. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mhe. Said Mkumba na Mbunge wa Chato, Mhe. Medard Kalemani

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wananchi wa wilaya ya Chato Mkoani Geita muda mfupi baada ya kumalizika kwa zoezi la usafi wa mazingira katika eneo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda- Chato ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kitaifa ya usafi wa mazingira tarehe 1 juni, 2024. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shighella.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa ofisi hiyo muda mfupi baada ya kumalizika kwa zoezi la usafi wa mazingira katika eneo la hospitali ya rufaa ya kanda- chato ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kitaifa ya usafi wa mazingira tarehe 1 juni, 2024

(NA MPIGAPICHA WETU)

About the author

mzalendo