Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

betpuan

cashwin

mercurecasino

tambet

casinowon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

cratosroyalbet

Hacklink panel

pokerklas

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betzula

betzula giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betzula

betzula giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

jojobet

jojobet güncel giriş

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betbey

casibom

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

taksimbet

Featured Kitaifa

MSAJILI WA HAZINA AZIUNGANISHA KAMPUNI YA MAJI SONGWE (SOWACO) KWENDA MAMLAKA YA MAJI MBEYA (WSSA)

Written by Alex Sonna

Mwandishi Wetu Mbeya.

Katika kutimiza wajibu wake wa kisheria katika usimamizi wa uwekezaji wa umma hususani kutunza mali za Serikali, Ofisi ya Msajili wa Hazina ilibaini kwamba kuna uwalakini katika usimamizi na uendeshaji wa kampuni ya Maji Songwe (SOWACO) hivyo ilitoa mapendekezo kwa Mamlaka kuiweka kampuni hii chini ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Mbeya WSSA).

Mei 2021 Ofisi hiyo iliomba idhini kwa Katibu Mkuu Kiongozi aridhie uhamishwaji wa SOWACO kwenda Mbeya-WSSA ambapo Julai 3,2023 ombi hilo lilikubaliwa.

Akizungumza jana Mei 31,2024 Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu amesema malengo makubwa ya Serikali ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2025/26, asilimia 85 wakazi wa vijijini na asilimia 95 wa Mjini wanapata huduma ya maji safi na salama kwa kufikia asilimia 100 ifikapo mwaka 2030.

“Kuhamishia shughuli za SOWACO Mbeya WSSA sio tu itasaidia kuongeza thamani za mamlaka, kuongeza wigo wa wateja na mapato, bali pia ni kutimiza adhma hii kubwa ya serikali ya kuongeza maji safi na salama pamoja na kuboresha utoaji wa huduma ya maji katika eneo la songwe na Mkoa wa Mbeya kwa ujumla,” amesema Mchechu.

Kwa mujibu wa taarifa ya tathimini ya mali za SOWACO, mali zenye jumla ya thamani ya Sh 985 milioni zimehamishwa kutoka SOWACO kwenda Mbeya WSSA, mali hizo zinajumuisha ardhi yenye thamani ya Sh 175 milioni, majengo Sh 366 milioni, mashine na mitambo Sh 439 milioni.

Amesema takwimu za ufuatiliaji za OMH zimeonyesha Mbeya WSSA inafanya vizuri katika utendaji wake katika kipindi cha miaka minne cha kuanzia mwaka 2019/20 hadi 2022/23 mapato yaliongezeka kwa asilimia 14 kutoka Sh 12.7 bilioni mwaka 2019/20 hadi Sh 14.5 bilioni kwa mwaka 2022/23.

“Ongezeko hili sio kubwa na nina imani kuwa mamlaka inaweza ikafanya vizuri zaidi kwa kuzalisha maji, wigo wa wateja hivyo mapato yataongezeka na kuifanya mamlaka kuwa na uwezo endelevu wa kifedha,” amesema.

Aidha, amesema mamlaka ina nafasi nzuri zaidi na wigo mpana wa kuongeza ufanisi katika misingi ya kibiashara na kwa kuzingatia vigezo mahususi vya kiutendaji vilivyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina.

Katika kuhakikisha kunakuwa na usimamizi makini kwa taasisi za umma, ofisi yake imepitia upya na kuboresha vigezo vya utendaji kazi vinavyozingatia aina ya sekta na majukumu yanayofanywa na taasisi.

Hivyo, amesema kwa Mamlaka za maji vigezo vya msingi vya kupima utendaji wake ni utendaji wa kifedha unaojumuisha ziada, ukwasi, ufanisi na uendelevu pamoja na mchango katika mfuko mkuu wa Serikali.

“Mamlaka za maji safi na usafi wa mazingira zinatoa huduma, asili ya majukumu yake ni biashara na zinatakiwa kuwa na faida au ziada ili kuongeza na kuboresha miundombinu yake,”amesema Mchechu na kuongeza kuwa
“Mbeya-

WSSA ikijengewa misingi thabiti na endelevu ya kiutendaji zitafanya vizuri na kuweza kutengeneza ziada ya kutosha kuendeleza miradi mikubwa ya maji na hatimaye kupunguza utegemezi serikalini,”

Hata hivyo, amewataka mamlaka za maji kutumia vyanzo mbadala vya fedha za kutekeleza miradi mikubwa ya maji kama ilivyo kwa Tanga- WSSA ambao wameweka historia ya kukusanya Sh 54.7 bilioni sawa na asilimia 103 kwa kuuza hati fungani ya kijani (Tanga green bond), na kuvuka malengo waliyojiwekea ya kukusanya Sh 53.120 bilioni.

About the author

Alex Sonna