Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

TAPSEA JIENDELEZENI KITAALUMA KUENDANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA- DKT. BITEKO

Written by mzalendo

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa makatibu mahsusi nchini kujiendeleza kitaaluma ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia sambamba na kuboresha utendajikazi wao.

Ameyasema hayo leo Mei 23, 2024 Jijini Mwanza wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufungua Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi.

“Kama mnavyofahamu kuwa dunia ya leo ni kijiji kutokana na mabadiliko ya teknolojia na utandawazi ambayo kwa kiasi kikubwa unachochea maendeleo ya teknolojia hususan Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA). Ni jukumu lenu kama chama cha kitaaluma kuwa na mkakati wa kushawishiana kujiendeleza kitaaluma kwenda sambamba na mabadiliko ya TEHAMA. Dunia ya leo haitumii tena teknolojia ya “type writer” kama zamani ambavyo wachache wenu mliomo humu mlishatumia”, amesema Dkt. Biteko.

Amefafanua “Mfumo wa kisasa wa matumizi ya kompyuta na vishikwambi ambao kwa pamoja unarahisisha utendaji kazi wenu, ni jukumu lenu kwa kada yenu waandishi waendesha ofisi kuhakikisha kuwa mnabobea katika fani hii na matumizi ya vifaa hivi kwenye kada yenu na hivyo ni muhimu mkafahamu matumuzi yake sahihi”.

Aidha, Dkt. Biteko ametoa rai kwa makatibu mahsusi hao kutoa huduma bora kwa wateja wanaofika katika ofisi zao “Fanyeni kila mmoja anayekuja ofisini kwenu atoke na furaha akiamini kuwa kodi anayolipa inamlipa mwenyewe katika kupata huduma bora, jinyimeni na kujizuia sana kuwa na kauli za kuvunja moyo kwa wateja wanaokuja kwenu na wakati wote mkiona miongoni mwenu mmoja wenu awe kwenye ofisi kubwa au ndogo mwenye tabia isiyofaa basi mkemeeni”.

Vilevile amewataka kusaidia wengine katika kutatua changamoto mbalimbali katika maeneo yao ya kazi.

Sambamba na hayo, Dkt. Biteko amesema kuwa Serikali itayafanyiakazi yale yote yaliyopendekezwa na TAPSEA.

Kwa upande wake, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema kuwa Serikali imefanya maboresho kadhaa katika kada ya makatibu mahsusi kwa lengo la kuboresha taaluma hiyo nchini.

“Awali taaluma hii ilikuwa inaitwa uhazili na kada yao hawa walikuwa wanaitwa makatibu mahsusi, tangu mwaka jana muundo umebadilika na sasa kwa kada yao wanaitwa waandishi waendesha ofisi na kiutumishi wamepanda kwa ngazi ya mshahara hadi kufikia TGSH. Hivyo ni maafisa hawa sasa wanasoma kufikia shahada hadi ngazi ya ubobevu”, amesema Mhe. Simbachawene.

Amesisitiza “ Wizara yangu ina jukumu la kuhakikisha inatoa waraka wa kuelezea majukumu haya mapya kwa waajiri ili nao wajue jambo hili”.

Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania(TAPSEA), Zuhura Maganga amesema kuwa lengo la mkutano huo ni kudumisha taaluma, kukuza uwajibikaji, kuipa hadhi taaluma yao, kuboresha maslahi yao pamoja na kutoa huduma bora kwa waajiri na wananchi.

Ametaja baadhi ya mafanikio ya chama hicho kuwa ni kuishawishi Serikali kuanzisha shahada ya uhazili katika Chuo cha Uhazili Tabora na Chuo cha Utumishi wa Umma pamoja na kuboresha muundo wa maendeleo wa kada ya waandishi waendesha ofisi hadi kufikia daraja la afisa mwendesha ofisi mkuu.

Pamoja na mafanikio hayo, Bi. Zuhura ameiomba Serikali na waajiri nchini kuruhusu makatibu mahsusi kushiriki katika mikutano hiyo ya kitaaluma pamoja na kuwalipia ada za ushiriki.

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda amesema kuwa Serikali kupitia Mamlaka ya Usambazaji Umeme Vijijini (REA) imetoa fedha za kiasi cha shilingi bilioni 56 kwa ajili ya mradi wa usambazaji umeme vijijini na shilingi bilioni 12 kwa ajili ya mradi wa ujazilizi wa umeme. Hata hivyo kwa sasa mkoa huo unatumia kiasi cha megawati za umeme 73 ikilinganishwa na uzalishaji wa megawati 183.

Mkutano huo wenye kaulimbiu;“MAFANIKIO HUANZA NA UAMUZI BORA WA UTENDAJI, TUTUMIE MUDA VIZURI KWA KUFANYAKAZI NA KULETA TIJA” ulioanza Mei 20, 2024 umehudhuriwa na washiriki zaidi ya 5000 kutoka mikoa yote nchini.

About the author

mzalendo