Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

WAZIRI BASHUNGWA AFUNGUA MKUTANO WA MAFUNDI SANIFU TANZANIA

Written by mzalendo

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa,akizungumza  wakati akifungua Mkutano wa Sita wa Mafundi Sanifu Tanzania wa Mwaka 2024 ambao umeongozwa na Kauli mbiu “Matumizi ya Akili Mnemba kuongeza ufanisi: Kuimarisha Mafundi Sanifu kwa Changamoto zinazoibuka” leo Mei 23,2024 jijini Dodoma.

Msajili wa Bodi ya ERB, Mhandisi Bernard Kavishe ,akizungumza  wakati wa Mkutano wa Sita wa Mafundi Sanifu Tanzania wa Mwaka 2024 ambao umeongozwa na Kauli mbiu “Matumizi ya Akili Mnemba kuongeza ufanisi: Kuimarisha Mafundi Sanifu kwa Changamoto zinazoibuka” leo Mei 23,2024 jijini Dodoma.

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, wakati akifungua Mkutano wa Sita wa Mafundi Sanifu Tanzania wa Mwaka 2024 ambao umeongozwa na Kauli mbiu “Matumizi ya Akili Mnemba kuongeza ufanisi: Kuimarisha Mafundi Sanifu kwa Changamoto zinazoibuka” leo Mei 23,2024 jijini Dodoma.

  

Wakila kiapo

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa,akipata maelezo mara baada ya kutembelea mabanda  wakati wa Mkutano wa Sita wa Mafundi Sanifu Tanzania wa Mwaka 2024 ambao umeongozwa na Kauli mbiu “Matumizi ya Akili Mnemba kuongeza ufanisi: Kuimarisha Mafundi Sanifu kwa Changamoto zinazoibuka” leo Mei 23,2024 jijini Dodoma.

…..

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiagiza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), kushirikiana na Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB) pamoja na Bodi ya Usajili wa Wakadiriaji Majenzi na Wabunifu Majengo (AQRB) kuandaa mpango mahsusi wa kuwajengea uwezo vijana kwa nyenzo na ujuzi ili waanzishe Makampuni ya Ujenzi na Ushauri Elekezi zitakazoshiriki katika ujenzi wa miundombinu.

Bashungwa ametoa agizo hilo jijini Dodoma Mei 23, 2024 wakati akifungua Mkutano wa Sita wa Mafundi Sanifu Tanzania wa Mwaka 2024 ambao umeongozwa na Kauli mbiu “Matumizi ya Akili Mnemba kuongeza ufanisi: Kuimarisha Mafundi Sanifu kwa Changamoto zinazoibuka”.

Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Wizara ya Ujenzi inaandaa mpango wa kuwawezesha vijana kwa kuwajengea kesho iliyo bora “Building a Better Tomorrow (BBT)” katika kada ya Uhandisi, Ukandarasi, Wakadiriaji Majenzi na Wabunifu Majengo kwa kutenga miradi ambayo itawaongezea uzoefu katika kazi zao.

“Wizara ya Ujenzi, tumepanga kuandaa mpango unaofanana na BBT kiuhandisi katika Sekta ya Ujenzi ili tuwawezeshe vijana mnaoungana katika makundi na kuanzisha Kampuni ambapo tutawapatia miradi ya kutekeleza na tutawasimamia kwa kuzingatia taaluma zenu kwa kuwalea hadi kuwa Kampuni kubwa”, amesisitiza Bashungwa.

Bashungwa amewaagiza Mafundi sanifu wote nchini kuendelea kujisajili katika Bodi ya ERB kama yalivyo matakwa ya Sheria ili waweze kutambulika na kuwapo mazingira wezeshi katika fursa mbalimbali za miradi ya ujenzi inayoendelea hapa nchini ambapo amesisitiza kuwa idadi ya mafundi sanifu 2,785 iliyopo hivi sasa ni ndogo ikilinganishwa na wanaohitimu kila mwaka.

Kadhalika, Bashungwa ametoa rai kwa Mafundi sanifu kuhakikisha ujuzi walionao usiishie kwenye Karakana zao kwa ajili ya maonesho bali warasimishe na kuingiza sokoni ili uweze kutatua matatizo yaliyopo kwenye jamii na kusaidia kupata kipato, kuendeleza vipaji vyao na kuanzisha kampuni zitakazochangia uchumi wa Taifa.

Amesisitiza umuhimu wa uadilifu, kufanya kazi kwa mujibu wa maadili na miiko ya taaluma ya Kihandisi na kuwa tayari kuripoti Wahandisi ambao wanakiuka maadili ili kuweza kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa Sheria.

Naye, Msajili wa Bodi ya ERB, Mhandisi Bernard Kavishe, ameeleza dhumuni la mkutano huo ni kuwakutanisha Mafundi sanifu kujadili mambo mbalimbali yanayohusu kada yao katika kutekeleza shughuli mbalimbali za kimaendeleo kwa weledi na kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Miongozo ya Serikali iliyopo.

Kavishe ameeleza kuwa Bodi ya ERB imeandaa miradi mbalimbali kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo kwa wahandisi wanaomaliza vyuo vikuu kwenye kujifunza na miradi hiyo inatarajiwa kuzinduliwa mwezi Septemba, 2024.

Mkutano wa Sita wa Mafundi Sanifu umehudhuriwa na Mafundi Sanifu takribani 800 na wengine 50 wakifuatalia mkutano huo kwa njia ya mtandao kutoka sehemu mbalimbali nchini huku Wahandisi 48 wamekuala kiapo cha Utii.

About the author

mzalendo