marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

imajbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

interbahis

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

jojobet

jojobet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

marsbahis

matbet

sekabet giriş

imajbet

pusulabet

herabet

herabet

Featured Kitaifa

WABUNGE WAPEWA ELIMU JUU YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA TBS NA BRELA

Written by mzalendo
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Kilimo, Dkt Medard Kalemani akiongoza semina hiyo.
Na.Alex Sonna-DODOMA
WABUNGE wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wamepewa elimu juu ya utekelezaji wa majukumu ya taasisi mbili zilizochini ya Wizara ya Viwanda na Bishara ambazo ni Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA).

Akifungua semina hiyo Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu,amesema Bunge linatambua namna TBS inavyopambana kuhakikisha ubora wa bidhaa unazingatiwa na BRELA imekuwa ikitekeleza majukumu yake kwa ufanisi.

“Sisi kama wabunge tunazipongeza taasisi hizi mbili TBS na BRELA kwa kutupatia semina hii ambayo imetupa mwanga jinsi mnavyofanya kazi tunawapongeza kwa ubunifu wenu kwa kutoa huduma bora kwa wananchi endeleeni kutoa elimu ili kila mtu ajue majukumu yenu”amesema Mhe.Zungu
Naye Kaimu Mwenyekiti wa Bunge wa Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Dk Medard  Kalemani aliipongeza serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuzifanyia mageuzi makuubwa taasisi za TBS na BRELA  ambazo zilikuwa na changamoto kubwa ya kiutendaji.

Aidha akijibu hoja za wabunge, Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji amewatoa hofu wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo kuhusu  Soko la Afrika Mashariki lililopo katika jengo la China Plaza, Ubungo jijini, Dar es Salaam kuwa halitaua biashara zao.

 Dk.Kijaji amesema tayari serikali imekaa vikao na wafanyabiashara hao kwa zaidi ya mara tatu kujadiliana kuhusiana na jambo hilo.
 “Timu ya Serikali ipo kazini inafanya kazi yake na katika jengo la Ubongo Plaza yanajengwa maduka 2002,wakati Kariakoo kuna maduka 40,000.”amesema Dk.Kijaji
Akijibu hoja za wabunge zilizoibuka kwenye semina hiyo,  Mkurugenzi wa Idara ya Leseni wa BRELA ,Andrew Mkapa amesema kuwa kuna haja ya kutoa elimu kwa watanzania ili wajue haki zao wakati wanaingia ubia na wawekezaji wa nje ya nchi wakati wa kusajili kampuni na kwamba  ni vigumu kujua kama mtanzania atadhulumiwa pia wanapofika kusajili kampuni na wageni hao.
Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dk. Athuman Ngenya amesema shirika hilo litaendelea kuboresha miundombinu na kuweka mazingira rafiki ya utoaji wa huduma kwa wakati ili kuchochea ufanyaji wa biashara na kuinua uchumi wa viwanda.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Brela,  Godfrey Nyaisa alisema katika kipindi cha miaka saba  kupitia mfumo wa usajili kieletroniki (ORS), kuna ongezeko la makampuni yaliyosajiliwa kutoka 119,000 hadi kufikia 205,000 Mei mwaka huu
Semina hiyo ina lengo la kueleza utekelezaji wa majukumu ya taasisi hizo zilizo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara katika mwaka wa fedha 2019/20 hadi 2023/24.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Ashatu Kijaji akizungumza wakati wa semina kwa wabunge kuhusu utendaji wa Shirika la Viwango Taanzania (TBS) na Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA) iliyofunguliwa na Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu (kulia) kwenye Ukumbi wa Msekwa bungeni Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu akifungua semina hiyo.

Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Kilimo, Dkt Medard Kalemani akiongoza semina hiyo.

Mbunge wa Mchinga, Mama Salma Kikwete akiwa na Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango TGanzania (TBS), Dkt Yusuph Ngenya akielezea kuhusu utendaji wa shirika hilo.

 

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Biashara na Leseni, Godfrey Nyaisa akitelezea mbele ya wabunge kuhusu utendaji wa wakala hiyo.

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang’ata (kushoto) akiwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Massaburi.

Mbunge wa Lupa, Masache Kasaka na Agnes Hokololo

Wabunge wakiwa kwenye semina hiyo.

About the author

mzalendo