Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO ASHIRIKI KILELE CHA SIKU YA NYUKI DUNIANI

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango na viongozi wengine akiwemo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo wakipiga makofi mara
baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma
leo tarehe 20 Mei, 2024 kuongoza Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Nyuki
Duniani.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt.
Selemani Jafo akitioa neno wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Nyuki
Duniani yaliyofanyika kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete
jijini Dodoma ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango.

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiwa katika picha na pamoja na Kamati ya Maandalizi ya
Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani wakati wa kilele cha maadhimisho hayo
yaliyofanyika kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini
Dodoma leo tarehe 20 Mei, 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiagana na viongozi, wadau na wananchi mara baada ya kuongoza
Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani katika Kituo cha Mikutano
cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo tarehe 20 Mei, 2024. Kulia ni Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani
Jafo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt.
Selemani Jafo akiuzngumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah
Kairuki mara baada ya kushiriki Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Nyuki
Duniani katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo tarehe
20 Mei, 2024

About the author

mzalendo