Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

casibom giriş

marsbahis

bets10

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

marsbahis

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

google

grandpashabet

tipobet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Starzbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

SERIKALI IMEANDAA SHERIA YA KUSIMAMIA BEI ZA BIDHAA NA HUDUMA

Written by mzalendo
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akijibu swali bungeni jijini Dodoma.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma
 
Serikali imesema imeandaa Sheria na kanuni ili kumlinda mlaji, na kuhakikisha kuwa bei za bidhaa na huduma zinapangwa kwa msingi wa nguvu ya soko.
 
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akijibu swali la Mbunge wa Mikumi, Mhe. Dennis Lazaro Londo, aliyetaka kujua sababu za Wafanyabiashara kutoza bei tofauti au fedha za Kigeni wateja ambao ni raia wa Kigeni pamoja na athari zake.
 
Mhe. Chande alisema kuwa biashara zimekuwa zikiendeshwa chini ya utaratibu wa soko huria ambapo bei za bidhaa na huduma hupangwa kuendana na uwiano wa uhitaji (demand) na upatikanaji wa bidhaa husika (supply), hata hivyo, wafanyabiashara wanaweza kutoza bei tofauti kwa bidhaa na huduma baina ya wazawa na raia wa kigeni au kwa fedha za kigeni.
 
‘‘Serikali inatambua na imeendelea kukumbusha kuwa shilingi ndio fedha halali kwa ajili ya malipo mbalimbali hapa nchini hivyo raia wa kigeni hawatakiwi kulazimishwa kulipa kwa fedha za kigeni hususan pale wanapokuwa na shilingi za Kitanzania’’, alisema Mhe. Chande.
 
Alifafanua kuwa wageni wanaruhusiwa kutumia fedha za kigeni ili kurahisisha ufanyaji biashara pale wanapokosa shilingi za Kitanzania na viwango vya ubadilishaji fedha havitakiwi kutofautiana na vile vinavyotozwa katika masoko ya fedha.
 
Alifafanua kuwa hakuna athari zozote za kimsingi za uchumi (economic fundamentals) kwa wafanyabiashara kutoza bei tofauti baina ya wateja raia wa kigeni na wazawa, kwa kuwa bei hizo huamuliwa katika soko huru na hivyo inatarajiwa kupanda na kushuka kulingana na nguvu za mahitaji na ugavi sokoni.
 
Naye Mbunge wa Msalala, Mhe. Iddi Kassim Iddi, aliuliza kuhusu mpango wa Serikali wa kurahisisha mfumo mzuri wa kutoa msamaha wa kodi kwa Wakandarasi wanaojenga barabara katika Halmashauri ya Msalala.
 
Akijibu swali hilo, Mhe. Chande alisema kuwa Msamaha wa kodi kwa wakandarasi wanaotekeleza miradi ya kimkakati ya Serikali unatolewa kwa mujibu wa kifungu cha Sita (6) cha Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kama ilivyofanyiwa maboresho na Sheria ya Fedha ya Mwaka 2021.
 
Alisema kuwa maboresho ya sheria hiyo yalilenga kurahisisha na kuongeza ufanisi katika utoaji wa msamaha wa kodi, ambapo awali mamlaka ya kutoa msamaha yalikuwa chini ya Waziri wa Fedha, na kwamba kwa mujibu wa marekebisho hayo, mamlaka ya kutoa msamaha yalikasimishwa kwa Kamishna Mkuu wa TRA.
 
‘‘Serikali kupitia TRA, ilianzisha Kitengo Maalumu kwa ajili ya kushughulikia misamaha ya kodi ya Ongezeko la Thamani ambapo kuanzishwa kwa Kitengo hicho kumesababisha kuwa na muda mfupi zaidi wa kushughulikia maombi ya msamaha wa kodi hiyo ukilinganishwa na wakati wa awali kabla ya maboresho’’, alifafanua Mhe. Chande.
 
Mhe. Chande aliongeza kuwa katika jitihada za kuongeza ufanisi na kutoa msamaha wa kodi ndani ya muda mfupi, Serikali ilianzisha Mfumo wa Kieletroniki wa kuwasilisha maombi hayo TRA (Tax Exemption Mangement System).

About the author

mzalendo