Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

IMF YARIDHISHWA NA NAMNA TANZANIA INAVYOTEKELEZA MPANGO WA ECF

Written by mzalendo
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), akizungumza kwa njia ya mtandao katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Arusha, wakati wa Kikao cha Majadiliano kati ya Serikali na Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) iliyoongozwa na Kiongozi wa Timu hiyo, Bw. Harris Charalambos Tsangarides (hayupo pichani), baada ya kukamilisha tathimini ya awamu ya tatu ya utekelezaji wa program ya Extended Credit Facility-(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja na maombi mapya ya Serikali ya kupata fedha za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi (RSF) kutoka Shirika hilo. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Arusha, Bi. Saphy Mahmoud.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza kwa njia ya mtandao katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Arusha, wakati wa Kikao cha Majadiliano kati ya Serikali na Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) iliyoongozwa na Kiongozi wa Timu hiyo, Bw. Harris Charalambos Tsangarides (hayupo pichani), baada ya kukamilisha tathimini ya awamu ya tatu ya utekelezaji wa program ya Extended Credit Facility-(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja na maombi mapya ya Serikali ya kupata fedha za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi (RSF) kutoka Shirika hilo.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), akishiriki kwa njia ya mtandao katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Arusha, Kikao cha Majadiliano kati ya Serikali na Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), baada ya kukamilisha tathimini ya awamu ya tatu ya utekelezaji wa program ya Extended Credit Facility-(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja na maombi mapya ya Serikali ya kupata fedha za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi (RSF) kutoka Shirika hilo. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Arusha, Bi. Saphy Mahmoud.
Kiongozi wa Timu ya Wataalamu kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Bw. Harris Charalambos Tsangarides, akizungumza wakati wa kikao cha Majadiliano kati ya Serikali na Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), baada ya kukamilisha tathimini ya awamu ya tatu ya utekelezaji wa program ya Extended Credit Facility-(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja na maombi mapya ya Serikali ya kupata fedha za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi (RSF) kutoka Shirika hilo. 
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba akiwa na Ujumbe wa Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) pamoja na Viongozi wengine wa Seriali wakifuatilia Mkutano kwa njia ya Mtandao kutokea Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania, Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (aliyeshiriki kwa njia ya mtandao kutoka Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Arusha)  ambapo walijadili taarifa ya awali baada ya IMF, kukamilisha tathimini ya awamu ya tatu ya utekelezaji wa program ya Extended Credit Facility-(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja na maombi mapya ya Serikali ya kupata fedha za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi (RSF) kutoka Shirika hilo.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza jambo  kwa njia ya mtandao katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Arusha, wakati wa kikao cha  Majadiliano kati ya Serikali na Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), baada ya Timu hiyo kukamilisha tathimini ya awamu ya tatu ya utekelezaji wa program ya Extended Credit Facility-(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja na maombi mapya ya Serikali ya kupata fedha za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi (RSF) kutoka Shirika hilo.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, (akiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam), akizungumza jambo wakati wa kikao cha Majadiliano kati ya Serikali na Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kilichoongozwa na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (akiwa Ukubi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania-Arusha), baada ya timu hiyo kutoa taarifa ya tathimini ya awamu ya tatu ya utekelezaji wa program ya Extended Credit Facility-(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja na maombi mapya ya Serikali ya kupata fedha za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi (RSF) kutoka Shirika hilo.
Na Benny Mwaipaja, Arusha
 
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amelihakikishia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwamba, Serikali itaendelea kufanya maboresho ya sera na mipango yake kwa kuhakikisha sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii zikiwemo sekta za elimu na afya zinapewa kipaumbele katika Bajeti ya Serikali.
 
Dkt. Nchemba amesema hayo wakati akifunga vikao vya majadiliano kati ya Serikali na Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), baada ya kukamilisha tathimini ya awamu ya tatu ya utekelezaji wa program ya Extended Credit Facility-(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja na maombi mapya ya Serikali ya kupata fedha za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kupitia dirisha la Resilient and Sustainable Fund (RSF) kutoka Shirika hilo.
 
Akifunga vikao hivyo katika Kikao cha majumuisho kilichofanyika kwa njia ya mtandao akiwa Benki Kuu  ya Tanzania Tawi la Arusha huku ujumbe wa IMF na timu ya wataalamu wa serikali wakiwa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam, Dkt. Nchemba, alieleza kufurahishwa kwake na taarifa ya awali iliyowasilishwa na Kiongozi wa Timu hiyo Bw. Harris Charalambos Tsangarides, inayoonesha kuwa Tanzania imetekeleza ipasavyo vigezo vilivyowekwa na Shirika hilo katika mpango huo wa ECF.
 
Dkt. Nchemba alisema kuwa Serikali itaendelea kutoa kipaumbele katika  Bajeti kwa Sekta ya Elimu kwa kuwa Serikali imefanya maboresho makubwa ikiwemo kuboreshwa kwa mitaala ya elimu pamoja na umuhimu wa kujenga miundombinu itakayo wezesha utoaji elimu inayokidhi mahitaji ya kukuza ajira na ujuzi hususan kwa vijana.
 
Alisema kuwa Sekta ya Afya pia  itaendelea kupewa kipaumbele kwa kuwa ni sekta muhimu hususan katika kipindi hiki ambapo Bunge limepitisha Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote yenye lengo la kuimarisha huduma za afya kwa Watoto, mama wajawazito pamoja na wazee ili kujenga Taifa imara kiafya.
 
Aliahidi kuwa Serikali itaendelea kusimamia ipasavyo program hiyo yenye thamani ya dola za Kimarekani bilioni 1.1 ambazo ni sawa na shilingi trilioni 2.4, ambayo itatekelezwa katika kipindi cha miaka minne kuanzaia mwaka 2022/2023 hadi mwaka 2025/2026.
 
Kuhusiana na maombi ya mkopo mpya kupitia dirisha la RSF kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, Dkt. Nchemba alieleza kuwa Serikali imejipanga kikamilifu kutekeleza hatua za kisera (Reform Measures) zilizobainishwa, kwa vile maboresho hayo yana manufaa makubwa kwa taifa letu.
 
Kwa upande wake, Bw. Harris Charalambos Tsangarides, alisema kuwa tathimini yao ya awamu ya tatu imeonesha kuwa Tanzania imetekeleza vizuri mpango wa ECF na kushauri hatua kadhaa zinazotakiwa kuendelea kuchukuliwa ikiwemo kuimarisha zaidi huduma za jamii, kusimamia kikamilifu soko la fedha za kigeni, kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani  pamoja na kuchukua hatua madhubuti za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
 
Alisema kuwa mapendekezo ya tathimini hiyo yatapelekwa mbele ya Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na kwamba uamuzi utakaotolewa na Bodi hiyo utatolewa taarifa kwa umma. 
 
Tanzania imefanyiwa Tathimini ya Awamu ya Tatu ili iweze kupata fedha kutoka IMF kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya kiuchumi na kijamii ambapo hadi sasa imepokea kiasi cha dola za Marekani milioni 455.3 kati ya dola za Marekani bilioni 1.1 ambazo Tanzania itanufaika nazo katika kipindi cha utekelezaji wa program ya ECF. Aidha, iwapo mapendekezo ya Serikali ya programı mpya ya RSF yataridhiwa na Bodi ya IMF, Tanzania itaongezewa fedha za mkopo nafuu ambazo zitatolewa kwa kıpindi cha miaka miwili (2025/2026).

About the author

mzalendo