marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

betbey

imajbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

romabet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

meritking

vdcasino

Featured Kitaifa

DKT.BITEKO ATAKA Ma-DC, Ma-DAS NA Ma-DED KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI KWA KUZINGATIA SHERIA

Written by Alex Sonna

📌Dkt. Biteko awataka kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa kuzingatia sheria

📌Asema maamuzi yao yasiwe ya upendeleo

📌Aelekeza kuandaa mkakati thabiti wa kutatua migogoro ya ardhi

📌Wakafanyie kazi mapendekezo ya ripoti ya Haki Jinai

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Halmshauri nchini wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu kwa kuzingatia sheria, taratibu, kanuni na miongozo ili kudumisha amani na mshikamano miongoni mwa Watanzania.

Maelekezo hayo yametolewa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 9 Mei, 2024 wakati akifungua warsha ya Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za mikoa tisa ya Tanzania Bara kuhusu Usimamizi na Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai iliyofanyika Jijini Dodoma.

“Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi dumisheni amani na mshikamano katika maeneo yenu ya kazi na kati yenu na wananchi ili kujenga taswira nzuri”amesema na kuongeza kuwa inasikitisha kuona viongozi wanaofanya kazi pamoja hawaelewani na hivyo kusabisha migogoro mahali pa kazi na pengine kusababisha hasara kwa Serikali.

Amesisitiza umuhimu wa viongozi kutekeleza majukumu yao na kufanya maamuzi kwa kuzingatia sheria na miongozo iliyowekwa, kushirikiana na Taaisi za Haki Jinai na kujipanga kutekeleza Mkakati
wa Kubaini Uhalifu kabla hajatendeka badala ya kusubiri kukabiliana nao.

“Wekeni mkakati thabiti wa kuzuia migogoro ya ardhi na endeleeni kuweka utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi na kuzifanyiakazi kwa kuzingatia sheria, Tatueni kero za wananchi kwa haki bila kumuonea mtu.” Amesisitiza Dkt. Biteko

Ameongeza kuwa mada mbalimbali zitawasilishwa na wabobezi kutoka sekta tofauti, hivyo walengwa wajipange kupata maarifa na kuzingatia yote watakayoelekezwa katika warsha hiyo kwa ajili ya kuboresha utendaji wao wa kazi.

Kwa upande wake, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Zainab Katimba amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume ya Haki Jinai na kuwa Ofisi yake ipo tayari kuhakikisha azma ya Rais Samia inafanikiwa.

Awali akitoa maelezo kuhusu matokeo ya Tume ya Haki Jinai, Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Tume ya Haki Jinai, Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu, Said Mwema amesema kuwa ripoti hiyo inaonesha kuwa wananchi wamekuwa na maoni mbalimbali ikiwemo malalamiko yanayohusu Serikali za Mitaa ambayo ni urasimu, huduma duni, ukosefu wa maadili, vitendo vya rushwa na migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji na wananchi na taasisi za Serikali pamoja na ukamataji wa watuhumiwa bila kuzingatia utaratibu wa haki zao na misingi katika kukamatwa kwao.

Warsha hiyo kwa Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Halmashauri kutoka Tanzania Bara imehudhuriwa na washiriki kutoka mikoa tisa ya Arusha, Geita, Kilimanjaro, Mara,
Simiyu, Shinyanga.

About the author

Alex Sonna