Featured • Kitaifa RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI, IKULU CHAMWINO DODOMA 6 months agoby mzalendo27 Views Written by mzalendo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Aprili, 2024. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn