Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AAGANA NA ALIYEKUWA BALOZI WA RWANDA NCHINI TANZANIA BALOZI FATOU HARERIMANAA

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania tarehe 23 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana mara baada ya mazungumzo yao wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania tarehe 23 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana mara baada ya mazungumzo yao wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania tarehe 23 Aprili, 2024.

About the author

mzalendo