slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

casinowon

wbahis

betpuan

sekabet

bahiscasino

vdcasino giriş

vdcasino

truvabet

truvabet

piabet

Featured Kitaifa

NCHI ZA AFRIKA ZAJIPANGA KUNUFAIKA NA UANACHAMA WAKE KWENYE NCHI 20 TAJIRI DUNIANI-G20

Written by mzalendo
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza wakati wa Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za Afrika, waliojadili maeneo ya kipaumbele ambayo nchi za Afrika zinahitaji kuyasukumabkama agenda mahususi katika mikutano ya Kundi la nchi 20 Tajiri Duniani (G20) baada Umoja wa Africa kupewa kiti katika kundi hilo. Mkutano huo umefanyika katika Ofisi za Kamisheni ya Umoja wa Afrika, kando ya mikutano ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Jijini Washington D.C, Marekani.
 
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, akifuatilia Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za Afrika, waliojadili maeneo ya kipaumbele ambayo nchi za Afrika zinahitaji kuyasukumabkama agenda mahususi katika mikutano ya Kundi la nchi 20 Tajiri Duniani (G20) baada Umoja wa Africa kupewa kiti katika kundi hilo. Mkutano huo umefanyika katika Ofisi za Kamisheni ya Umoja wa Afrika, kando ya mikutano ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Jijini Washington D.C, Marekani.
 
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Kulia), akiteta jambo na Waziri wa Fedha na Mipango ya Maendeleo ambaye pia ni Gavana Mstaafu wa Benki Kuu ya Lesotho, Dkt. Adelaide Retselisitsoe Matlanyane, wakati wa Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za Afrika, waliojadili maeneo ya kipaumbele ambayo nchi za Afrika zinahitaji kuyasukuma kama agenda mahususi katika mikutano ya Kundi la nchi 20 Tajiri Duniani (G20) baada Umoja wa Africa kupewa kiti katika kundi hilo. Mkutano huo umefanyika katika Ofisi za Kamisheni ya Umoja wa Afrika, kando ya mikutano ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Jijini Washington D.C, Marekani.
 
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Katikati), akifuatilia Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za Afrika, waliojadili maeneo ya kipaumbele ambayo nchi za Afrika zinahitaji kuyasukumabkama agenda mahususi katika mikutano ya Kundi la nchi 20 Tajiri Duniani (G20) baada Umoja wa Africa kupewa kiti katika kundi hilo. Mkutano huo umefanyika katika Ofisi za Kamisheni ya Umoja wa Afrika, kando ya mikutano ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Jijini Washington D.C nchini Marekani.
 
Baadhi ya Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za Afrika, wakiwa katika mkutano uliowakutanisha Mawaziri na Magavana hao, waliojadili maeneo ya kipaumbele ambayo nchi za Afrika zinahitaji kuyasukumabkama agenda mahususi katika mikutano ya Kundi la nchi 20 Tajiri Duniani (G20) baada Umoja wa Africa kupewa kiti katika kundi hilo. Mkutano huo umefanyika katika Ofisi za Kamisheni ya Umoja wa Afrika, kando ya mikutano ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Jijini Washington D.C, nchini Marekani. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Washington)
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C
 
TANZANIA imeishauri Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC), kutumia kikamilifu fursa ya kiti cha uwakilishi wa Umoja wa Afrika katika Kundi la nchi Ishirini Tajiri Duniani (G20), kutetea maslahi ya nchi za Afrika ili ziweke kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazokwaza maendeleo ya nchi hizo ikiwemo madeni makubwa, maradhi, kilimo kisicho na tija, mabadiliko ya tabia nchi, uharibifu wa mazingira  pamoja na matumizi hafifu ya teknolojia.
 
Ushauri huo umetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba,  wakati wa Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za nchi za Afrika, uliofanyika  Kando ya Mikutano ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), iliyoanza rasmi jana Jijini Washington D.C nchini Marekani.
 
Dkt. Mwamba alisema kuwa Tanzania inaona kuwa nafasi hiyo ni muhimu kwa kuwa itachangia kutimiza malengo yake pamoja na ya nchi za Afrika kutekeleza na kusimamia vipaumbele vyake vya kuimarisha uchumi na huduma za kijamii kwa wananchi.
 
Aliyataja maeneo manne ya kimkakati yanayotakiwa kupewa msukumo mkubwa katika G20, ikiwemo maendeleo endelevu ya kiuchumi, uhimilivu wa madeni na Sekta ya fedha, Ulinzi wa mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi, Maendeleo ya kilimo, Usalama wa chakula, afya, biashara na uwekezaji.
 
Dkt. Mwamba alifafanua kuwa nchi za Afrika zinahitaji kusaidiwa kuwa na miundombinu ya kijani, nishati jadidifu, matumizi ya teknolojia za kidigiti vitakavyochochea ukuaji wa uchumi jumuishi utakaozinufaisha nchi zote za Bara la Afrika.
 
Aidha, alisema kuwa nchi Tajiri Duniani (G20), ziangalie uwezekano wa kuzifutia ama kuzipunguzia madeni nchi za Afrika ambazo nyingi, uchumi wake umeyumba kutokana na majanga mbalimbali ya kidunia ikiwemo Uviko 19, mizozo ya vita pamoja na mabadiliko ya Tabianchi ili kiasi cha fedha kinachopatikana ama kukusanywa ndani ya nchi hizo kiweze kitumika kuendeleza nchi zao badala ya kulipa madeni.
 
Dkt. Mwamba alishauri pia kuwa nchi za G20 zizizaidie nchi za Afrika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kutoa fedha na matumizi na kusaidia teknolojia zinazoweza kutumika kukabiliana na hali hiyo na kulinda kizazi cha sasa na cha baadae.
 
Akizungumzia kuhusu kilimo na Usalama wa chakula, Dkt. Mwamba aliushauri Umoja wa Afrika kuhakikisha kuwa Nchi za G20 zinawekeza katika uzalishaji na usalama wa chakula kwa kuongeza uzalishaji kupitia tafiti mbalimbali kwani kuwekeza katika chakula ndiyo maisha ya sasa na ya baadae ya nchi za Afrika.
 
Alisema kuwa ni muhimu nchi hizo zikazisaidia nchi za Afrika kuboresha miundombinu na kifumo yake yake ya afya na kukabiliana na majanga kupitia matumizi ya chanjo na matibabu ya uhakika na kuwaelimisha watoa huduma za afya. 
 
Aidha, Dkt. Mwamba alitoa wito kwa nchi Tajiri Duniani kuiona Afrika kama kitovu cha uwekezaji na biashara kwa kutumia masoko ya ndani na kufungua masoko kwenye nchi zao, kuwekezaji mitaji ya moja kwa moja kwenye sekta muhimu za kiuchumi kikiwemo, kilimo, utalii, viwanda na teknolojia.
 
Kwa upande wake, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, alisema kuwa hatua ya Umoja wa Afrika kupata uwakilishi katika Kundi la nchi Tajiri Duniani (G20) kutaimarisha sekta ya fedha na kuzitaka nchi hizo za Afrika kuwa na mipango ya ushirikiano ili kupeleka agenda zenye maslahi mapana ya nchi zao katika mikutano ya G20.
 
Alitolea mfano wa Kundi la Nchi Tajiri Duniani (G20) kuhakikisha kuwa fedha za kigeni zinapatikana kwa wingi ili kuimarisha utulivu wa salafu, pamoja na kupatikana kwa fedha za kuimarisha mazingira akieleza kuwa athari za mabadiliko ya tabianchi yanaziathiri nchi nyingi za Afrika.

About the author

mzalendo