Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

PPRA YAOKOA SH. BILIONI 16.27 

Written by mzalendo

 

Mkurugenzi wa Huduma za Ushauri na kujenga uwezo kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) Mhandisi Amini Mcharo,akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 9,2024 jijini Dodoma wakati akitoa taarifa za mafanikio ya miaka mitatu ya Rais Samia na Mageuzi Makubwa katika ununuzi wa Umma nchini.

Na.Alex Sonna-DODOMA

KATIKA kipindi cha Miaka mitatu ya Rais Samia ,Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imefanikiwa kuokoa shilingi Bilioni 16.27  baada ya kufanya uchunguzi kwenye zabuni zilizotekelezwa katika mwaka wa fedha 2021/22 na 2022/23.

Hayo yamesemwa leo Aprili 9,2024 jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Huduma za Ushauri na kujenga uwezo kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) Mhandisi Amini Mcharo wakati akitoa taarifa za mafanikio ya miaka mitatu ya Rais Samia na Mageuzi Makubwa katika ununuzi wa Umma nchini.

Mhandisi Mcharo amesema kuwa Kati ya fedha hizo, Shilingi Bilioni 13.83 ilitokana na kuingilia kati kwa Mamlaka kwenye mikataba ambayo ilitolewa kwa wazabuni wenye bei ya juu wakati wenye bei ya chini wakitolewa kwenye mchakato.

“Kiasi cha shilingi Bilioni 2.44  ni kiasi kilichorudishwa na wasambazaji wa bidhaa na wakandarasi kwa malipo ya ziada yaliyofanywa na Taasisi Nunuzi”amesema Mhandisi Mcharo

Amesema kuwa PPRA imekuwa ikifanya Kaguzi na uchunguzi mbalimbali na mapambano dhidi ya rushwa kwenye taasisi nunuzi.

“Lengo ni kubaini kuwepo kwa ubadhirifu wa fedha za umma, matumizi mabaya ya madaraka na viashiria vya rushwa.Mara baada ya uchunguzi kukamilika, Mamlaka hutoa taarifa zake kwa taasisi nunuzi na kutoa mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa.”amesema

Aidha amesema Mamlaka imewezeshwa kutekeleza vipaumbele mbalimbali katika kusimamia ununuzi wa umma nchini, ambapo imejikita katika maeneo mbalimbali yakiwemo ya ujenzi wa mfumo wa kielektroniki wa ununuzi wa umma na  kuimarisha ufuatiliaji na udhibiti wa ununuzi wa umma.
“Imejikita katika kuwajengea uwezo wadau wa ununuzi wa umma, kutungwa upya kwa Sheria ya Ununuzi wa Umma Na. 10 ya Mwaka 2023, kujenga jengo la ofisi ya makao makuu mkoani Dodoma na kuanzishwa kwa ofisi tano za kanda.”Mhandisi Mcharo
Amesema kuwa Serikali kupitia PPRA, ilianzisha mfumo wa NeST  ili kuwezesha michakato yote ya ununuzi wa umma kufanyika kwa njia ya kielektroniki kwa lengo la kuongeza tija, ufanisi, uwajibikaji na uwazi  kwenye utekelezaji wa michakato hiyo.
Hata hivyo amesema kuwa “Mfumo wa NeST umeunganishwa na mifumo 17 ya serikali kwa lengo la kuongeza ufanisi, kupunguza muda na gharama za michakato ya ununuzi, kudhibiti vitendo vya udanganyifu, rushwa na kuzuia ukosefu wa maadili.”amesema Mhandisi Mcharo
Amesema kuwa Zaidi ya shilingi trilioni 29 zimewekwa kwenye mfumo wa NeST kwa ajili ya kufanya ununuzi wa bidhaa, huduma na kazi za ujenzi. Hadi kufikia Aprili 09, 2024, mikataba ya zaidi ya shilingi trilioni 5.14 imetolewa kwa wazabuni kupitia mfumo wa NeST, ambapo wazabuni 18,101 wamejisajili kwenye mfumo huo.
Mhandisi Mcharo amesema PPRA imewajengea uwezo makundi maalum na imekamilisha tafsiri ya miongozo miwili inayotumika katika ununuzi wa umma, ambayo ni mwongozo wa ushiriki wa makundi maalum katika ununuzi wa umma na mwongozo wa ushirikishwaji wa jamii katika ununuzi wa umma.
Pia, imetafsiri  nyaraka sanifu tatu za zabuni za ushiriki wa makundi maalum katika ununuzi wa umma, nyaraka sanifu ni moja ya zabuni za ushiriki wa jamii katika ununuzi wa umma.
“Hadi kufikia Februari 2024, jumla ya tuzo za mikataba zenye thamani ya shilingi bilioni 1.95 zimetolewa kwa makundi maalum kupitia zabuni za umma zilizotangazwa na taasisi nunuzi kupitia mfumo wa NeST ambapo kundi la vijana wamepata tuzo za mikataba zenye thamani ya shilingi milioni 709, wanawake shilingi bilioni 1.2 na wazee shilingi milioni 78.3.”
Aidha Mamlaka imeandaa sera ya tafiti na agenda iliyoainisha maeneo muhimu ya kufanya utafiti katika ununuzi wa umma. Tafiti zilizokamilika ni kuhusu changamoto na fursa katika ununuzi wa umma na ushiriki wa kampuni za biashara zinazoongozwa na wanawake katika zabuni za umma.
“Mamlaka imekamilisha tafiti ndogondogo katika matumizi ya taratibu ya ununuzi kwa njia ya Force Account ambapo ilibainika kuwa kuna matumizi ya njia hii yasiyoendana na sheria na kanuni inavyoelekeza. Sheria mpya ya ununuzi ya mwaka 2023 imeboresha matumizi ya utaratibu huu.”amesema
Pia ameeleza kuwa Mamlaka ilifanikiwa kusaini hati ya makubaliano na NEEC kwa lengo la kutoa kipaumbele kwa makundi maalumu katika kushiriki fursa zinazotokana na ununuzi wa umma.
Aidha, mamlaka na PCCB zilisaini hati ya makubaliano kwa lengo la kuongeza ushirikiano katika kupambana na rushwa kwenye ununuzi wa umma.
Amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imeiwezesha Mamlaka kujenga jengo la ofisi za Makao Makuu jijini Dodoma pamoja na uanzishwaji wa ofisi mpya za kanda tano na hivyo kufanya mamlaka kuwa na ofisi sita za kanda.

About the author

mzalendo