Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

BILIONI 96.5 KUONGEZA KASI YA MRADI WA UMEME WA KAKONO

Written by mzalendo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El – Maamry Mwamba na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa nchini, Bi. Celine Robert, wakionesha mikataba ya Euro milioni 34.86 sawa na shilingi bilioni 96.47 kwa ajili ya mradi wa kufua umeme wa nguvu za maji wa Kakono, baada ya hafla ya kusaini mikataba hiyo iliyofanyika jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa nchini, Bi. Celine Robert, wakisaini mikataba ya Euro milioni 34.86 sawa na shilingi bilioni 96.47 kwa ajili ya mradi wa kufua umeme wa nguvu za maji wa Kakono, katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El – Maamry Mwamba, akizungumza wakati wa hafla ya kusainiwa kwa mkataba wa Euro milioni 34.86 sawa na shilingi bilioni 96.47 kutoka Shirika la Maendeleo la Ufaransa kwa ajili ya mradi wa kufua umeme wa nguvu za maji wa Kakono, katika hafla iliyofanyika Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa nchini, Bi. Celine Robert, akizungumza wakati wa hafla ya kusainiwa kwa mkataba wa Euro milioni 34.86 sawa na shilingi bilioni 96.47 kwa ajili ya mradi wa kufua umeme wa nguvu za maji wa Kakono, katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio, akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa Euro milioni 34.86 sawa na shilingi bilioni 96.47 kutoka Shirika la Maendeleo la Ufaransa kwa ajili ya mradi wa kufua umeme wa nguvu za maji wa Kakono, katika hafla iliyofanyika Jijini Dodoma.

Baadhi ya wawakilishi wa Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati wakifuatilia kwa karibu hotuba mbalimbali zilizotolewa katika hafla ya utiaji saini wa Euro milioni 34.86 sawa na shilingi bilioni 96.47 kutoka Shirika la Maendeleo la Ufaransa kwa ajili ya mradi wa kufua umeme wa nguvu za maji wa Kakono, katika hafla iliyofanyika Jijini Dodoma.

Meza kuu iliongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa nchini, Bi. Celine Robert na   Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio, wakiwa katika picha ya pamoja na menejimenti ya Wizara ya Fedha, baada ya hafla ya utiaji saini wa Euro milioni 34.86 sawa na shilingi bilioni 96.47 kutoka Shirika la Maendeleo la Ufaransa kwa ajili ya mradi wa kufua umeme wa nguvu za maji wa Kakono, katika hafla iliyofanyika Jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Fedha Dodoma)

Na. Saidina Msangi, WF- Dodoma.

Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa zimesaini mkataba wa Euro milioni 34.86 sawa na takribani shilingi bilioni 96.47 kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa mtambo wa kufua umeme wa Kakono.

Mkataba huo umesainiwa jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa nchini Tanzania, Bi. Celine Robert. 

Alisema kuwa mradi huo unaotarajiwa kukamilika mwaka 2026 na kukabidhiwa kwa Serikali mwaka 2028, utaongeza umeme wa megawati 87.8 kwenye gridi ya Taifa hivyo kuongeza uzalishaji wa umeme nafuu wa nguvu za maji ili kukabiliana na upungufu wa umeme katika gridi ya Taifa maeneo ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania.

‘’Mradi huu unafadhiliwa na Washirika watatu wa Maendeleo ambao ni AFD (Euro 110 milioni sawa na takriban TZS 304.37 bilioni), Benki ya Maendeleo ya Afrika (USD 161.47 milioni sawa na takriban TZS 413.95 bilioni) na Umoja wa Ulaya (Euro 34.86 milioni sawa na TZS 96.47 kusimamiwa na AFD) ambayo tumesaini leo’’, alisema Dkt. Mwamba.

Alisema kuwa Mradi wa Umeme wa Maji wa Kakono unaenda sambamba na Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (FYDP III) wenye kaulimbiu ya kujenga Uchumi wa Kiushindani na Viwanda kwa Maendeleo ya Watu kwa kuboresha miundombinu yenye tija, upatikanaji wa nishati ya uhakika, kuimarisha biashara na uwekezaji, mazingira wezeshi pamoja na mifumo ya elimu na mafunzo.

Alifafanua kuwa mbali na kusambaza umeme kwa watumiaji, mradi huo pia unatarajiwa kutoa fursa za ajira takribani 1,000 zitatolewa wakati wa awamu ya utekelezaji pamoja na ajira 100 za kudumu wakati wa awamu ya uendeshaji na hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi wa watu wanaozunguka mradi na kuboresha Maisha yao.

Dkt. Mwamba aliishukuru AFD kwa jitihada zote za kuhakikisha kwamba, ruzuku hiyo inapatikana kwa ajili ya mradi na kuwa Serikali itaendelea kufanya kazi kwa karibu na AFD na Washirika wengine wa Maendeleo ili kuhakikisha utekelezaji wa mradi huo unafanikiwa na kufikia lengo lililokusudiwa la maendeleo.

Mtambo unaotarajiwa kujengwa wa kufua umeme wa Kakono upo mto Kagera, takriban kilometa 90 magharibi mwa Manispaa ya Bukoba, ambayo ni kona ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania utakuwa mbadala wa mitambo ya kufua umeme kwa kutumia mafuta ambayo hutumika kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa umeme kwenye gridi ya Taifa.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa nchini, Bi. Celine Robert, alisema kuwa mradi huo unaenda sambamba na malengo ya kimataifa ya tabia nchi na utasaidia Tanzania katika hatua ya kupunguza kiwango cha kaboni katika sekta ya nishati.

‘‘Mradi huu unatarajiwa kuwa na matokeo makubwa katika maendeleo ya kiuchumi ya eneo hili linalokua kwa kasi, ambalo liko katikati mwa eneo la Maziwa Makuu, kukuza uchumi wa viwanda na kuchochea ukuaji sio tu Tanzania bali hata katika nchi jirani,’’, alisema Bi. Celine Robert

Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio alisema Wizara hiyo kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO) watahakikisha mradi huo unatekelezwa kwa ufanisi na kuhakikisha unafikia malengo yaliyokusudiwa.

Alisema mradi huo utarahisisha upatikaji wa umeme wa uhakika katika Mkoa wa Kagera na mikoa ya jirani, utaongeza ajira, utapunguza gharama za umeme na kuongeza mapato ya TANESCO.

Dkt. Mataragio alilipongeza Shirika la Maendeleo la Ufaransa kwa kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kutekeleza miradi mbalimbali huku akiitaja baadhi ya miradi ya nishati iliyofadhiliwa na shirika hilo ikiwemo Mradi wa Umeme wa Jua wa Kishapu, Mradi wa kuungamisha Tanzania na Zambia pamoja na Mradi wa Umeme wa Jua Mafia.

About the author

mzalendo