Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

SERIKALI YAMUITIKA MTATURU

Written by mzalendo

SERIKALI inatambua umuhimu wa vivuko na madaraja katika Jimbo la Singida Mashariki ambapo kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini imeweka katika mpango wake kwa mwaka wa fedha 2024/2025, jumla ya Shilingi Bilioni 1.11 kwa ajili ujenzi wa madaraja katika Wilaya ya Ikungi.

Naibu Waziri,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI),Zainab Katimba amesema hayo April 8,2024,Bungeni Jijini Dodoma,wakati akijibu swali la Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu.

Katika swali lake Mtaturu ametaka kujua ni lini serikali itajenga Maradaja kwenye Barabara za Misughaa-Kikio na Matongo – Mpetu – Singida.

Akijibu swali hilo Naibu Waziri Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2023/2024,jumla ya Shilingi Milioni 435 zimetumika katika ujenzi wa madaraja katika barabara ya Mpetu-Matongo, Misughaa-Msule-Sambaru, Mungaa-Ntuntu-Mang’onyi na Lighwa-Ujaire na utekelezaji wake umefikia asilimia 90.

Amesema katika barabara za Misughaa-Kikio na Matongo-Mpetu kuna uhitaji wa jumla ya madaraja matatu ambayo ni Daraja la Mto Matongo lenye urefu wa mita 65, Daraja la mto Isanja lenye urefu wa mita 45, na Daraja la mto Siuyu lenye urefu wa mita 30.

Aidha,kutokana na ukubwa wa madaraja hayo usanifu wa kina unahitajika kufanywa ambapo TARURA imeanza kutekeleza kazi ya usanifu wa Madaraja haya kwa lengo la kupata gharama halisi za ujenzi wake.

Katika swali la nyongeza Mbunge wa Viti Maalum Martha Gwau akiuliza kwa niaba ya Mtaturu ametaka kujua kwa kuwa Bajeti ya TARURA wilayani ni ndogo,je nini mpango wa serikali kujenga madaraja ili kukamilisha kazi nzuri inayofanyika kuunganisha barabara za vijiji na vijiji,kata na kata na hatimaye Wilaya na wilaya?

” Pia kwakuwa barabara bila madaraja haikamilki na kwakuwa tathimini ya madaraja barabara ya matongo-mpetu,Misughaa-Ntuntu,Misughaa-Kikio,Kimbwi na Ighuka imeshafanyika ni lini serikali itatenga fedha kujenga madaraja hayo?,amehoji Mbunge Gwau kwa niaba ya Mtaturu.

Akijibu swali hilo Naibu Waziri Katimba amesema serikali ina mpango wa kuhakikisha kwamba inajenga na kuboresha miundombinu maeneo yote nchini.

Amesema mtandao wa barabara nchini una kilomita 144.429 na ni mtandao mkubwa hivyo unahitaji bajeti kubwa.

“Mh Mbunge Mtaturu tumekuwa tukiwasiliana mara kwa mara na amenieleza changamoto za miundombinu katika jimbo lake,Mh Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akichukua jitihada mbalimbali ikiwemo kuongeza bajeti ya TARURA kutoka Bilioni 275 hadi Bilioni 710 mpaka sasa,”amesema Katimba.

Amemuhakikishia mbunge kuwa pale inapotokea dharura serikali inapeleka fedha kwa ajili ya kuhakikisha mawasiliano hayakatiki na kusisisitiza dhamira ya serikali ya kufanyia kazi ujenzi wa madaraja na miundombinu yote ambayo ni muhimu kwa ajili ya wananchi.

“Niwahakikishie kuwa bajeti ya dharura imeongezwa kutoka Bilioni 21.2 hadi Bilioni 52.6,yote hii kwa sababu serikali inataka pale inapotokea dharura waweze kutatua dharura hiyo,”amesema.

About the author

mzalendo