Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

DKT.MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA WOMENLIFT HEALTH

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Maelezo kutoka kwa Bi. Doris Mollel ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel kuhusu vifaa vya kutunza watoto njiti wakati Makamu wa Rais akikagua mabanda mbalimbali kwenye Mkutano wa WomenLift Health 2024 unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.

…………

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema ni muhimu kushughulikia changamoto mbalimbali kama vile mila potofu na  mabadiliko ya tabianchi ambazo ni kikwazo kwa wanawake kufikia nafasi za juu za uongozi katika sekta ya afya na nyinginezo.

Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati akifungua Mkutano wa WomenLift Health 2024 unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Amesema kuendelea kufuata mila potofu kama vile ukatili na ndoa za utotoni ni kikwazo kwa wanawake kufikia uongozi wa juu. Ameongeza kwamba Tanzania ambayo ina makabila 123 kwa kiasi kikubwa yamekuwa na mfumo dume ambao huwalazimisha wanawake kutunza familia zaidi kuliko kujiendeleza kitaaluma na kiuongozi.

Makamu wa Rais amesema mabadiliko ya tabianchi duniani yamekuwa na athari mbaya kwa wanawake na wasichana ambao wanabeba majukumu makubwa katika kupata mahitaji muhimu kama vile chakula, mafuta na maji.  Ameongeza kwamba Inakadiriwa kuwa, wanawake na wasichana wapatao Milioni 160 wanaweza kusukumwa katika umaskini ifikapo mwaka 2050 kutokana na mabadiliko ya tabianchi. 

Pia ametoa wito wa kuelekeza rasilimali za kifedha zaidi  ili kuwajengea uwezo  viongozi wanawake na kujenga ufahamu kuhusu uwezo wao katika jamii. Amesema bado maeneo hayo yameendelea kupewa kipaumbele cha chini katika bajeti na hivyo kushindwa kuwajengea uwezo wanawake viongozi kama vile wabunge, wachambuzi wa sera na watafiti.

Makamu wa Rais amesema katika uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, hatua mbalimbali zimechukuliwa katika kuhakikisha wanawake wanashiriki katika uongozi na kutumia vipaji vyao katika kukabiliana na changamoto za sekta ya afya.  Aidha ametaja maeneo ambayo serikali imewekeza kuwawezesha wanawake kama vile ujenzi wa shule maalum za sayansi kwa wanawake, uteuzi wa nafasi mbalimbali za uongozi, kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wanaofanya vizuri katika masomo ya sayani kupitia Samia Scholarship Program pamoja na programu ya kuwarejesha wasichana shule waliokabiliwa na changamoto mbalimbali kama vile kupata ujauzito na umasikini. 

Pia Makamu wa Rais amesema serikali imeendelea kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama ili kusaidia wanawake hususani maeneo ya vijijini kutumia muda mwingi kutafuta huduma hiyo, kuongeza nishati safi ya kupikia, kuanzisha program maalum ya kumsaidia mama mjamzito kujifungua salama ya M- Mama, pamoja na kutekeleza lengo namba 3 la Malengo ya Maendeleo Endelevu kwa kupunguza vifo vya mama na mtoto kutoka vifo 556 kwa kila vizazi hai 100,000 mwaka 2015 hadi vifo 104 kwa kila vizazi 100,000 mwaka 2022.

Kwa upande wake Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema ajenda za mkutano huo ambazo ni pamoja na uongozi wa mabadiliko, kuchukua hatua katika kuongeza wanawake kwenye nafasi za juu za uongozi katika sekta ya afya  na ushirikiano kama njia ya usawa wa kijinsia zinaenda sambamba na vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita inayolenga mabadiliko, maridhiano, ujenzi mpya, ustahimilivu na mageuzi.

Waziri Ummy amesema chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Sekta ya afya imepiga hatua kwa kiasi kikubwa katika kukabiliana na  magonjwa ya mlipuko, magonjwa yanayoambukiza, afya ya mama na mtoto pamoja na kuendelea jitihada za kuhakikisha inapatikana bima ya afya kwa wote.

Awali akitoa taarifa ya Mkutano huo Rais wa WomenLift Health Bi. Amie Batson amesema pamoja na kuwa na idadi kubwa ya wanawake ya asilimia 70 ya watumishi katika sekta ya Afya Duniani bado changamoto ni idadi ndogo ya wanawake katika uongozi wa juu kwenye masuala ya afya. Amesema kutokuwepo kwa usawa katika uongozi wa juu kwenye sekta ya afya kunakwamisha namna ya kukabiliana na changamoto zinazojitokeza katika sekta hiyo.

Mkutano huo wa Siku tatu wenye lengo la kujadiliana namna ya kuendelea kuongeza wanawake katika nafasi za juu za uongozi katika sekta ya afya una jumla ya washiriki 800 kutoka mataifa 42 duniani. Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Kufikiria upya uongozi: Mbinu mpya kwa changamoto mpya”

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Rais wa WomenLift Health Bi. Amie Batson mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa WomenLift Health 2024. Tarehe 06 Aprili 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Maelezo kutoka kwa Bi. Doris Mollel ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel kuhusu vifaa vya kutunza watoto njiti wakati Makamu wa Rais akikagua mabanda mbalimbali kwenye Mkutano wa WomenLift Health 2024 unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Tarehe 06 Aprili 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Rais wa WomenLift Health Bi. Amie Batson pamoja na viongozi mbalimbali wakielekea Ukumbini wakati wa Mkutano wa WomenLift Health 2024 unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Tarehe 06 Aprili 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand Mhe. Helen Clark wakati alipowasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa WomenLift Health 2024. Tarehe 06 Aprili 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa WomenLift Health 2024 unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.

About the author

mzalendo