Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

ramadabet

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

VIJANA 19 WAHITIMU MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA VIHENGE KUDHIBITI SUMUKUVU

Written by Alex Sonna

Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga Hopeness Elia (katikati) akikagua vihenge vilivyotengenezwa na vijana walioshiriki mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu wa ‘Tanzania Initiative for Preventing Aflatoxin Contamination – TANIPAC)’ ulio chini ya Wizara ya Kilimo

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Jumla ya vijana 19 kutoka Halmashauri za Wilaya ya Buchosa (Mwanza), Itilima (Simiyu) , Nzega (Tabora) na Bukombe (Geita) wamehitimu mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu wa ‘Tanzania Initiative for Preventing Aflatoxin Contamination – TANIPAC)’ ulio chini ya Wizara ya Kilimo kwa lengo la kuimarisha usalama wa chakula kwa wananchi na afya ya jamii.
 
Mafunzo hayo yaliyofanyika kuanzia Machi 14,2024 yakitolewa na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) yamefungwa leo Jumatano Machi 27, 2024 katika ukumbi wa SIDO Mkoa wa Shinyanga na Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga Hopeness Elia.
 
Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo, Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga Hopeness Elia amesema mafunzo hayo ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa TANIPAC unaolenga kuiwezesha jamii kutumia njia sahihi na za kisasa za uhifadhi wa nafaka hususani mahindi kutokana na sumukuvu.
 
“Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Kilimo imeingia gharama kuhakikisha kuwa vijana wanapatiwa ujuzi wa kutengeneza vifaa vya kisasa na vinavyodumu kwa muda mrefu ili kutimiza adhima ya kupunguza sumukuvu ili kuimarisha usalama wa chakula kwa wananchi lakini pia kuhakikisha vijana wanapata ajira kwa kujiajiri na kuajiri wengine”,amesema Elia.
 
Amesema kupitia mafunzo hayo, washiriki wamejifunza mbinu mbalimbali za utengenezaji vihenge kwa vitendo, ujasiriamali, masoko, usimamizi wa fedha na urasimishaji biashara hivyo kuwataka wakayatumie kwa vitendo ili kujipatia ajira na kutimiza malengo ya serikali ya kutokomeza sumukuvu na wakawe mabalozi wa kukemea matumizi yasiyo sahihi ya utunzaji wa nafaka yanayopelekea sumukuvu.
 
Aidha amewataka vijana hao wakazingatie kutengeneza vifaa vyenye ubora, kutumia muda vizuri, wajifunze kuweka akiba na kutumia lugha nzuri kwa wateja wao na watumie huduma zinazotolewa SIDO.
 
Akisoma Risala ya wahitimu wa mafunzo hayo, George Stanley Joseph amesema wamejifunza kuhusu ujasiriamali, masoko na huduma kwa wateja, usimamizi wa fedha, urasimishaji wa biashara na utengenezaji wa vihenge kwa vitendo na kwamba elimu na mafunzo waliyopata yatawasaidia kuboresha utendaji kazi na kuzalisha bidhaa za vihenge (Silos) na nyinginezo kwa tija ili kukidhi mahitaji ya soko la ndani na nje ya nchi.
 
“Tunaushukuru uongozi wa SIDO na Wizara ya Kilimo kwa kutoa fursa ya mafunzo haya ambayo yametujengea uwezo wa kujiamini na kuamsha ari ndani yetu ya kujiajiri na kuachana na kasumba ya kusubiri ajira”,amesema Joseph.
Mwenyekiti wa darasa la mafunzo ya utengenezaji Vihenge, Emmanuel Ngasa Masaka (kushoto) akimwelezea Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga Hopeness Elia kuhusu vihenge vilivyotengenezwa na vijana walioshiriki mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu wa ‘Tanzania Initiative for Preventing Aflatoxin Contamination – TANIPAC)’ ulio chini ya Wizara ya Kilimo
Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga Hopeness Elia (kulia) akizungumza wakati akikagua vihenge vilivyotengenezwa na vijana walioshiriki mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu wa ‘Tanzania Initiative for Preventing Aflatoxin Contamination – TANIPAC)’ ulio chini ya Wizara ya Kilimo
Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga Hopeness Elia (katikati) akizungumza wakati akikagua vihenge vilivyotengenezwa na vijana walioshiriki mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu wa ‘Tanzania Initiative for Preventing Aflatoxin Contamination – TANIPAC)’ ulio chini ya Wizara ya Kilimo
Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga Hopeness Elia (katikati) akipiga picha ya kumbukumbu na vijana walioshiriki mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu (TANIPAC) ulio chini ya Wizara ya Kilimo
Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga Hopeness Elia akizungumza wakati akifunga mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu (TANIPAC) ulio chini ya Wizara ya Kilimo

Washiriki wa mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu (TANIPAC) ulio chini ya Wizara ya Kilimo wakiwa ukumbini
Mwenyekiti wa darasa la mafunzo ya utengenezaji Vihenge, Emmanuel Ngasa Masaka akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu (TANIPAC) ulio chini ya Wizara ya Kilimo
Mhasibu wa SIDO Mkoa wa Shinyanga, bi. Misuka Makwaya akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu (TANIPAC) ulio chini ya Wizara ya Kilimo
George Stanley Joseph akisoma risala ya wahitimu wa mafunzo
Mratibu wa Mafunzo SIDO Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Manyama Lububi akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu (TANIPAC) ulio chini ya Wizara ya Kilimo
Hafla ya kufunga mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu (TANIPAC) ikiendelea
Hafla ya kufunga mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu (TANIPAC) ikiendelea
Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga Hopeness Elia (kulia) akimkabidhi  cheti cha uthibitisho wa kushiriki mafunzo mmoja wa washiriki wa mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu (TANIPAC)

Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga Hopeness Elia (wa tatu kulia waliokaa) akipiga picha ya kumbukumbu na washiriki wa mafunzo ya utengenezaji wa Vihenge kupitia mradi wa Kuzuia Sumukuvu (TANIPAC).

About the author

Alex Sonna