marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

betbey

grandpashabet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

romabet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

casinomilyon

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

Grandpashabet Güncel Adres

vdcasino

betvole

Featured Kitaifa

MAKUBWA YAAHIDIWA ZIARA BODI YA NISHATI VIJIJINI MSOMERA

Written by mzalendo

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu pamoja na Wajumbe Bodi hiyo wakimsikiliza Kaimu Operesheni Kamanda wa ujenzi wa nyumba katika Kijiji cha Msomera, Luteni Kanali Edward Mwanga kuhusu maendeleo ya mradi huo wakati wa ziara ya Bodi pamoja na Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) walipotembelea kukagua usambazaji wa miundombinu ya umeme katika Kijiji hicho wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga jana, Machi 26, 2024.

Sehemu ya miundombinu ya umeme katika Kijiji cha Msomera.

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu akimsikiliza Kaimu Operesheni Kamanda wa ujenzi wa nyumba katika Kijijicha Msomera, Luteni Kanali Edward Mwanga kuhusu maendeleo ya mradi huo wakati wa ziara ya Bodi hiyo pamoja na Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) walipotembelea kukagua miundombinu ya umeme katika Kijiji hicho wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga jana, Machi 26, 2024.

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu akizungumza mara baada ya kukagua miundombinu ya umeme katika Kijiji cha Msomera wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga wakati wa ziara ya Bodi hiyo pamoja na Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kukagua maendeleo ya usambazi umeme katika kijiji hicho. Tukio hilo limefanyika, Machi 26, 2024.

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu akisalimiana na Maafisa pamoja na Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wanaosimamia ujenzi wa nyumba katika Kijiji cha Msomera wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga wakati wa ziara ya Bodi hiyo pamoja na Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kukagua maendeleo ya usambazi umeme katika kijiji hicho. Tukio hilo limefanyika, Machi 26, 2024.

 Na Veronica Simba, REA – Handeni.

Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imefanya ziara Msomera, wilayani Handeni yaliko makazi mapya ya wananchi wanaoendelea kuhamia kwa hiari kutoka Hifadhi ya Taifa Ngorongoro, ambapo ahadi kutoka pande mbalimbali zimetolewa katika kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa ipasavyo.

Mwenyekiti wa Bodi, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, aliyeongoza Msafara huo Machi 26, 2024 ameahidi kuwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaosimamiwa na Bodi hiyo, utatekeleza kikamilifu, jukumu lake la kupeleka nishati ya umeme kwa wakazi wa eneo hilo ambalo hadi sasa linaendelea vizuri.

“Wakandarasi wetu wako eneo la kazi na tutahakikisha tunatekeleza kikamilifu kazi yetu kana ilivyokusudiwa,” amesisitiza.

Aidha, Balozi Kingu amesema jambo la msingi linalopaswa kuzingatiwa na wadau wote wanaohusika katika zoezi hilo ni ushirikiano ili azma ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan iweze kutimia.

“Sote tushirikiane na sote tupeane taarifa kwa wakati. Naamini itawezekana iwapo sote tutaunganisha nguvu kwa pamoja,” amesema.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Albert Msando ameahidi kuwa yeye pamoja na viongozi wenzake watahakikisha vifaa vyote vinavyotumika katika kutekeleza Mradi wa upelekaji umeme katika eneo hilo vinabaki salama.

Amesisitiza kuwa, hawataruhusu wala hawatakuwa tayari kuona kifaa chochote kikipotea au kutumika vibaya huku akitolea mfano tukio lililotokea siku chache zilizopita ambapo alisema baadhi ya watu waliojaribu kuiba vifaa vya Mradi walikamatwa na wanaendelea kushikiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama.

“Nimemwelekeza Mwendesha Mashtaka pamoja na OCD kwamba tutaifishe Gari na kuchukua hatua za kisheria kwa yeyote aliyehusika na tukio hilo ili iwe fundisho kwamba vifaa vinavyokuja kwenye miradi ya umeme usithubutu kugusa.”

Mhe. Msando ameiahidi Bodi ya Nishati Vijijini kuwa endapo watajitokeza watu kushirikiana na wahalifu wa aina hiyo, Ofisi yake haitasita kuwachukulia hatua ili malengo ya REA na Bodi yaweze kufikiwa.

Naye Kaimu Kamanda wa Operesheni, Luteni Kanali Edward Mwanga, pamoja na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na REA katika kupeleka umeme eneo hilo, pia ameiahidi Bodi kuendelea kutoa ushirikiano katika kuhakikisha miradi ya umeme inatekelezwa kikamilifu.

Katika pongezi zake, ametoa shukrani kwa REA kufikisha umeme eneo la kuzalishia tofali ambapo ameeleza kuwa imesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza gharama za uendeshaji zilizokuwa zinatokana na matumizi ya jenereta.

“Tunapofyatua tofali kwa kutumia jenereta, gharama zinakuwa kubwa sana, hivyo kuwepo kwa umeme kumepunguza gharama za Mradi,” amefafanua.

Wakala wa Nishati Vijijini imekuwa ikitekeleza Mradi wa REA Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili katika kijiji cha Msomera ambapo ujenzi wa Mradi umekamilika kwa asilimia 100 kwa wigo wa awali na jumla ya shilingi bilioni 3.7 zimetumika kugharamia Mradi huo unaotarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi huu.

Aidha, usambazaji wa umeme Awamu ya Pili ya ujenzi wa nyumba 5,000 Msomera umekamilika kwa asilimia 100 katika hatua ya kwanza inayohusu kupeleka umeme wa msongo wa kati (kilovoti 33) kwa umbali wa kilomita 12.9 eneo la Kitalu F ambapo matayarisho ya vifaa vya ujenzi kama vile kufyatua tofali na utengenezaji wa vifaa vya chuma yatakuwa yakifanyika. Kazi hii imetekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 6.5

Mkandarasi M/S China Railway Construction and Electrification Bureau Group Company Ltd atatekeleza Mradi huu kwa gharama ya shilingi bilioni 14.2.

Bodi ya Nishati Vijijini iko mkoani Tanga kushiriki vikao kazi na hivyo inatumia fursa hiyo pia kutembelea baadhi ya miradi ya nishati vijijini inayotekelezwa mkoani humo.

About the author

mzalendo