Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

https://guinguinbali.com/

boostaro review

NervEase

vdcasino

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

maritbet giriş

hiltonbet

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Betoffice

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

perabet, perabet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

meritking giriş

flower disease

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

hititbet

hititbet giriş

ultrabet

pusulabet

grandpashabet giriş

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

hititbet

hititbet giriş

hititbet giriş

hititbet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Meritking

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

madridbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

casino siteleri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

holiganbet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

bonus veren casino siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

truvabet, truvabet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

betturkey

sweet bonanza

bets10 güncel giriş adresi

betpuan giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

pokerklas, pokerklas giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

robinbet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

jojobet giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

pusulabet

sekabet

marsbahis

matbet

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

marsbahis

grandpashabet

holiganbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

herabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

pokerklas

pokerklas

casibom

türk ifşa izle

deneme bonusu veren siteler

matadorbet

bets10

sweet bonanza

Featured Kitaifa

DKT. BITEKO AZINDUA KIWANDA CHA KUWEKA MIFUMO YA UPASHAJI NA UTUNZAJI JOTO MABOMBA YA EACOP

Written by mzalendo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua Kiwanda cha kuwekea mifumo ya kupasha na kutunza joto katika mabomba yatakayosafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani Tanga nchini Tanzania kupitia Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP).

Akizindua mradi huo katika Kijiji cha Sojo wilayani Nzega mkoani Tabora, Dkt. Biteko amesema utekelezaji wa mradi wa EACOP umefikia asilimia 27 ikiwa ni kielelezo cha usimamizi madhubuti wa Rais wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni ambao wamekuwa vinara katika kuhakikisha mradi unafanyika kwa wakati na viwango vya kimataifa.

Amesema Rais Samia amesimamia kikamilifu mradi kutoka alipoupokea mwaka 2021 kwa kuhakikisha Serikali inatekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwemo kutoa fedha za utekelezaji wa mradi huo kwa wakati ambapo hadi sasa Serikali imetoa jumla ya shilingi Bilioni 710 kati ya shilingi Bilioni 820 sawa na asilimia 87 ikiwa ni mchango wake kama Mwanahisa katika mradi wa EACOP.

Amesema utekelezaji wa mradi huo unaendelea vizuri ikiwemo suala la utwaaji wa ardhi ambapo malipo yamefanyika kwa asilimia 99.2, ujenzi wa matenki makubwa ya kuhifadhi mafuta Chongoleani Tanga umeshaanza na kufikia asilimia 32 na gati ya kupakia mafuta katika eneo la Chongoloeani umefikia asilimia 36.

Katika hatua nyingine, Dkt. Biteko ameitaka kampuni ya EACOP kuhakikisha inatoa kipaumbele zaidi kwa watanzania katika fursa mbalimbali na kutoa onyo kwa kampuni za nje ambazo zinachukua fursa za Watanzania kwa kujifanya ni kampuni za ndani ya nchi ambapo udanganyifu huo wamekuwa wakiufanya kwa kushirikiana na baadhi ya watanzania.

” Kumeanza kutokea mchezo kwa baadhi ya kampuni za nje kwa kushirikiana na baadhi ya Watanzania wanatengeneza kampuni ionekane ni ya kitanzania, tumefanya kazi ya kuzikagua kampuni hizi kwa kutumia EWURA na zile zilizobainika zmefanya udanganyifu tumezifuta ili kampuni za ndani zipate kazi kwanza, fursa hizi zinapokuja lazima ziwafaidishe Watanzania kwanza, kampuni zinazotoa huduma lazima ziwe za kitanzania na hii ni kwa mujibu wa sheria ya nchi.” Amesema Dkt. Biteko.

Vilevile ameitaka kampuni ya EACOP kushirikisha wananchi wanaozunguka mradi huo ili wawe ni sehemu ya mradi na kuwa Walinzi wa mradi husika na kuangalia namna bora ya kuwawezesha ili hata baada ya ujenzi wa mradi kukamilika wananchi wa jamii hizo waendelee na shughuli zao (sustainability empowerment)

Amesema Tabora ipo eneo la katikati la utekelezaji wa mradi huo wenye urefu wa kilometa 1443 hivyo waone mradi huo ni wao na watoe ushirikiano kwa wakandarasi na Serikali kwa upande wake itahakikisha wanapata yale yote wanayostahili kutokana na uwepo wa mradi huo ikiwemo huduma za kijamii na fursa za mradi.

Vilevile ametoa pongezi kwa Serikali ya Uganda kwa kuiona Tanzania kama mdau muhimu kwenye maedeleo ya nchi yao na kwamba Serikali ya Tanzania inatambua mchango huo na kuuthamini.

Dkt. Biteko amesema kuwa Serikali ya Tanzania na Uganda zipo kwenye majadiliano ya kutekeleza mradi mwingine mkubwa wa Bomba la Gesi kutoka Tanzania kwenda Uganda ikiwa ni maelekezo ya viongozi Wakuu wa Nchi hivyo Wizara ya Nishati itayasimamia kikamilifu.

Katika hatua nyingine, Dkt. Biteko amesema kuwa Rais Samia anataka kuwaletea maendeleo Watanzania wote, kuwatoa kwenye umaskini na kuwainua kiuchumi kwa kushirikiana na Sekta binafsi hivyo ni muhimu kwa wananchi kutoa ushirikiano kwa Sekta binafsi na kutowakwamisha.

Kwa upande wake, Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa Uganda, Mhe. Ruth Nankabirwa amesema kuwa, uzinduzi wa kiwanda hicho ni kielelezo cha hatua kubwa iliyopigwa kwenye utekelezaji wa mradi ambapo ameipongeza kampuni ya EACOP kwa mradi huo ambao umezingatia viwango vya kitaifa na kimataifa vya utekelezaji wa miradi ikiwemo za utunzaji wa mazingira.

Amesema Serikali ya Uganda inaendelea kushirikiana kwa karibu na Serikali ya Tanzania ili kutekeleza mradi huo kwa ufanisi na kwa wakati.

Aidha, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa ushirikiano kwa Serikali ya Uganda katika nyanja mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa mradi huo wa EACOP.

Ameongeza kuwa shughuli za utafiti na uchimbaji wa mafuta nchini Uganda zinaendelea vizuri hali inayoendelea kutoa uhakika katika utekelezaji wa mradi wa EACOP.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Stephen Byabato amesema kuwa mradi wa EACOP ulikumbwa na changamoto katika hatua mbalimbali za utekelezaji wake lakini Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wameusukuma hadi kufikia hatua ya sasa na kueleza kuwa Jumuiya ya Afrika Mahariki inajivunia viongozi hao.

Amesema Rais Dkt. Samia na Rais Museveni hawachori mistari ya kutenganisha nchi bali kuziunganisha kupitia miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa Bomba la EACOP, mradi wa umeme kutoka Masaka Uganda hadi Kagera, Barabara kutoka Masaka Uganda hadi Kagera Tanzania na miradi mingine ya maendeleo.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya EACOP, Martin Tiffen amesema kuwa kiwanda hicho kwa sasa kina mabomba ya mafuta ya urefu wa kilometa 300 huku kazi ya upokeaji wa mabomba mengine kwenye kiwanda hicho ikiendelea hadi kukamilisha kilometa 1,443 za Bomba la Mafuta, Amesema kiwanda kwa sasa kimetoa ajira 500 huku zaidi ya nusu wakiwa ni Watanzania.

Gharama ya uwekezaji wa kiwanda hicho ni shilingi Trilioni 11 ambapo kiwanda kimeleta faida mbalimbali kwa wakazi wa kijiji cha Sojo na Mkoa wa Tabora kwa ujumla ikiwemo ajira za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja, fursa za biashara, uboreshwaji wa barabara, miradi ya kijamii n.k

Hafla ya uzinduzi wa kiwanda imeenda pamoja na utiaji saini mkataba kati ya EACOP na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wa kukodisha eneo la kujenga miundombinu ya kuhifadhi mafuta mkoani Tanga, mkataba wa kutumia eneo la Maji pamoja na mkataba wa kufanya shughuli bandarini ambao umesainiwa kati ya EACOP na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA).

Viongozi mbalimbali walioambatana na Dkt. Biteko katika uzinduzi huo ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio, Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Fred Mwesigye na Balozi wa Tanzania nchini Uganda Mej. Jen. Paul Kisesa Simuli.

About the author

mzalendo