slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

perabet

testeres

Featured Kitaifa

GRUMETI FUND YATETA NA VIJANA WA KIKE NA KIUME SERENGETI

Written by Alex Sonna

 

SHIRIKA la Grumeti Fund  kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii katika kujenga jamii yenye usawa na yenye kujitambua  kwa vijana wa kike na kiume imewakusanya pamoja wanafunzi wa kike  zaidi ya 1,243 na wavulana 565 katika nyakati tofauti kutoka shule za sekondari Makundusi na Natta zilizopo wilayani Serengeti kwa lengo la kujadili changamoto mbalimbali za kijinsia zinazowakabili watoto wa kike na kiume pamoja na utatuzi wa changamoto hizo.

Katika kongamano la wasichana lililofanyika katika shule ya Sekondari Natta iliopo Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii kutoka Grumeti Fund Bi. Frida Mollel amewataka wasichana  kujitambua na kujua thamani yao sambamba na kutokata tamaa kwa changamoto mbalimbali zinazowakabili bali watumia elimu wanayoipata ili iweze kuleta tija na mabadiliko chanya katika jamii.

“Kama unatoka katika jamii ambayo inakwambia wewe huwezi wala hufiki mbali, Grumeti Fund tumekuja kukwambia Leo kwamba unaweza kuwa yeyote unayetaka katika dunia hii kama ukijitambua, tuko hapa kuwatia moyo, tuko hapa kuwambia kuwa nyie ni taifa kubwa” alisema Bi. Frida Mollel.

Aidha, Frida Mollel  aliendelea kusisitiza kuwa elimu ndio dira na njia ya kufikia ndoto za vijana hao kama watatumia nafasi waliyopewa vema watakuwa baraka katika jamii yao na katika nchi kwa ujumla. 

Katika kongamano hilo shirika la Grumeti Fund imetoa msaada wa taulo za kike  zinazoweza kutumika  kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu (reusable pads) kwa wanafunzi wa kike 1,243 zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 16,159,000 katika shule za sekondari Natta na Makundusi. 

Aidha, kwa upande wake Bi. Sophia Mnandi- mratibu wa ushauri kutoka Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) katika kongamano hilo amewataka wasichana kupaza sauti zao katika kutokomeza mila na desturi kandamizi ndani ya Jamii sambamba na kuwa wavumilivu katika changamoto wanazopitia.

“Tumia muda wako kujilinda kila sehemu utakapokuwa dhidi ya Mila na desturi kandamizi ndani ya Jamii zetu, pia tumesema wewe mwenyewe ujitambue unataka kuwa nani na kwa wakati gani, hayo yote yanaitaji muda na uvumilivu” alisema Bi. Sophia

kwa upande wake  mkufunzi kutoka  chuo cha Afya Kisare Mwl. Restuda Murutta amewaasa wanafunzi hao kuzingatia elimu ya afya ya uzazi sambamba na kuepuka matumizi ya dawa za kupunguza maumivu wakati wa hedhi bila ushauri wa kitabibu. 

“Uwapo katika siku za hedhi, ni vizuri kuzingatia usafi hasa kuosha via vya uzazi, pia usikimbilie kutumia dawa za kupunguza maumivu wakati wa hedhi bila ushauri wa daktari kwa kufanya hivyo ni kuhatarisha afya yako ya uzazi” alisema Bi. Restuda

Nao miongoni mwa wanafunzi waliopata mafunzo hayo ameishukuru kampuni ya Grumeti Fund kwa namna wanavyowajali na kuwathamini mabinti  na kuahidi kuyaweka katika vitendo mafunzo hayo na kusambaza elimu kwa wengine.

Awali kongamano hili lilitanguliwa na kongamano la vijana wa kiume takribani 565 kutoka shule za Sekondari Natta na Makundusi ambapo  Bi. Frida Mollel ambaye ni mkuu wa Idara ya Maendeleo ya jamii kutoka Grumeti Fund akaweka wazi lengo la kuwakutanisha pamoja vijana wa kiume kuwa ni kutambua changamoto wanazopitia na kujaribu kutafuta majibu ya changamoto hizo kwa pamoja sambamba na kuwashirikisha wanaume katika utatuzi wa changamoto za mtoto wa kike ili wote kwa pamoja waweze kusimamamia ndoto zao. Aliwaasa vijana kutokuiga tabia na tamaduni za kigeni zinazoweza kuharibu kabisa dhamani yao na maisha yao kwa ujumla. Wafanye bidii kwenye masomo yao na kuepuka makundi rika.

Naye aliyekuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo Ndg. Wandele Rwakatare ambaye ni Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Bunda akawataka vijana wa kiume kuuvaa uhalisia wa jinsia ya kiume sambamba na kulipa kipumbele suala la Upambanaji.

“Hatutarajii kuona mwanaume aliyehudhuria kongamano hili la Grumeti aweke hereni wala kusuka nywele, vaeni uhalisia wa kiume katika Upambanaji ili kujenga jamii bora” ukilipa kipaumbele suala la maadili kwani ndio msingi wa kila kitu katika maisha”. alisema Rwakatare.

Kwa takribani miaka saba kampuni ya Grumeti Fund imekuwa ikitoa elimu ya kijinsia kwa wanafunzi wa kike na kiume katika shule za sekondari mbalimbali Wilayani Serengeti na Bunda ambapo tangu mwaka 2017 hadi awamu ya kwanza ya kongamano hili kwa Mwaka 2024  imefanikiwa kutoa elimu ya kijinsia kwa wasichana 11,092 na kutoa taulo za kike kwa kila binti anayeshiriki mafunzo hayo, huku ikifanikiwa kutoa mafunzo kwa wavulana zaidi ya 3,995 tangu mwaka 2021 hadi awamu ya kwanza ya kongamano la Mwaka 2024 na kutoa zawadi za jezi na mipira  kwa kila shule iliyoshiriki kwenye kongamano.

 

About the author

Alex Sonna