Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

radissonbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

imajbet

betface

betface

imajbet giriş

casibom

Featured Kitaifa

KAMATI YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI YATEMBELEA GEREZA LA CHATO

Written by mzalendo

Na Mwandishi wetu- GEITA.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imetembelea Gereza la Wilaya ya Chato kwa lengo la kujionea namna mwitikio wa UKIMWI unavyotekelezwa katika gereza hilo ambapo wamekutana na mahabusu, Wafungwa, Askari, Maafisa pamoja watumishi wa umma.

Akizungumza katika ziara hiyo mwishoni mwa wiki Mkoani Geita Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo alisema kamati imeridhishwa na jinsi Magereza inavyopanga na kutekeleza mikakati ya Mwitikio wa UKIMWI katika gereza hilo.

Aliongeza kuwa utekelezaji wa afua za Mwitikio wa UKIMWI katika gereza la Chato zinaridhisha ambapo alimpongeza Mkuu wa Jeshi la Magereza kutokana na kuhakikisha wafungwa na mahabusu wanakuwa salama kiafya.

“Nitumie nafasi hii kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani kila kinachofanyika ni kutokana na mwongozo na maelekezo yake. Pia niwasisitize kuchukua tahadhari ya maambukizi ya VVU ikiwa ni pamoja na kupima afya kwa wale ambao hawajapima ili mjue afya zenu, pamoja na kuanzishiwa dawa kwa wale ambao watagundulika kuwa na maambukizi ya VVU,”Alisema Mhe. Nyongo.

Vile vile aliiomba Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) kuangalia namna ambavyo itaandaa mkakati maalum wa kutekeleza afua za UKIMWI katika magereza yote nchini ikiwa ni pamoja na kuwajengea uwezo maafisa magereza katika utoaji elimu ya VVU katika maeneo yao.

“Niombe Ofisi ya Waziri Mkuu kama Mratibu wa masuala ya UKIMWI muangalie namna mtakavyo kuwa na mkakati wa kutekeleza afua za UKIMWI katika magereza nchini na kufanya magereza kuwa Mkoa wa kimkakati,ili kuhakikisha maambukizi ya VVU yanapungua pamoja na kuwawezesha Maafisa Magereza kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya VVU,”Aliongeza.
Kwa upande wake Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga alieleza kwamba Ofisi ya Waziri Mkuu inapokea maagizo yote yanayotolewa na Kamati hiyo kwa ajili ya Utekelezaji.

“Nilipongeze Jeshi la Magereza kwa kuendelea kutekeleza afua za Mwitikio wa UKIMWI pamoja na kuweka mikakati mizuri ambayo inalenga kumaliza UKIMWI ifikapo 2030,”Alipongeza Mhe. Nderiananga.


Kamati ilikutana na Mahabusu na Wafungwa ambapo katika risala yao wamebainisha changamoto zinazowakabili na baadhi ya changamoto zilipata utatuzi kutoka Machi kuisha uongozi wa Jeshi la Magereza ikiwa ni pamoja na kuwanunulia magodoro 50 kabla ya mwezi Machi kuisha , pamoja na kufanya utaratibu wa kuchimba kisima cha maji ili kupunguza changamoto ya maji.

Kamishina Msaidizi wa Magereza Dkt. Richard Mwankina alisema kuwa elimu ya afya kuhusu VVU na UKIMWI hutolewa na watumishi wa afya waliopo gereza la Chato kwa kushirikiana na Ofisi ya Mganga Mkuu wa Wilaya, ambapo wafungwa na mahabusu wamekuwa wakifundishwa namna ya kujikinga na maambukizi ya VVU na magonjwa ya ngono na kuepuka kuambukiza wengine .

“Kwa sasa jumla ya wafungwa na mahabusu 24 ndio wanaotumia dawa (ARV) na kuhusu elimu ya UKIMWI wafungwa na mahabusu wanapata habari na mafunzo mbalimbali wakiwa katika gerezani kupitia televisheni na vipeperushi ili kuongezea uelewa zaidi,”Alibainisha Dkt. Mwankina.

Awali Kamati ilitembelea hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato ambapo katika hospital hiyo pamoja na huduma nyingine inatoa huduma za tiba na matunzo kwa Watu Wanaoishi na VVU ambazo hutolewa kwa siku tano katika wiki kwa ajili ya kutoa dawa ,kuchukua vipimo ,ushauri na huduma nyingine.

Taarifa ya hospitali hiyo imeonesha kuwa katika mwaka 2023 jumla ya wateja 1253 walipima VVU ambapo wanaume walikuwa 682na wanawake 571, jumla ya watu 21 walibainika kuwa na maambukizi ya VVU pamoja kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya VVU kwa kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya kondomu kwa wananchi.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Afya na masuala ya UKIMWI Mhe Stanslaus Nyongo amepongeza jitihada zinazofanyika katika kuimarisha huduma za afya na kuagiza fedha za miradi zinazotengwa zitolewe ili miradi inayoanzishwa isikwame.

Mwenyekiti alielekeza Serikali kuwa fedha zinazotengwa kwa ajili ya miradi ya Afya zitolewe kwa wakati ili miradi hiyo isikwame, akisema uwekezaji huo ni mkubwa kwa kuwa itapunguza mzigo kwa hospitali ya moyo ya Jakaya Kikwete Dar es Salaam.

About the author

mzalendo