Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betface

betface

imajbet giriş

Featured Kitaifa

DKT. BITEKO AAGIZA VIONGOZI WA SERIKALI KUTATUA KERO SI KUZICHUKUA

Written by mzalendo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka viongozi wa Serikali katika maeneo mbalimbali nchini kuhakikisha wanatatua kero za wananchi kwa wakati badala ya kuzichukua bila ya kuzifanyia kazi.

Dkt. Biteko ametoa agizo hilo wakati akimwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Hafla ya kuweka jiwe la msingi jengo la Ofisi za Makao Makuu ya  Africa Inland Church Tanzania ( AICT) Jijini Mwanza.

Dkt. Biteko ametoa agizo hilo kufuatia risala ya Askofu Mkuu AICT, Mussa Magwesela liyoweka wazi kasi nsogo ya utatuzi wa changamoto zinazolitatiza Kanisa hilo kwa muda mrefu bila kupatiwa majibu wala utatuzi.

Dkt. Biteko amesema mbali na agizo la Makamu wa Rais, Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango la kushughulikia hoja ya AICT kuhusu umiliki wa Shule za Sekondari za Bulima na Kahunda  pamoja kiwanja kilichopo jijini Mwanza katika eneo la Makongoro lakini agizo hilo bado halijashughulikiwa.

” Hili suala la Kahunda na Bulima nataka niwahakikishie kwamba tunalitambua na tunalifanyia kazi, lakini hili la umiliki wa kiwanja sifurahishwi na kasi ya ndogo ya ushughulikiaji, haiwezekani jambo hili
kutoka Makamu wa Rais alitolee maelekezo mwezi Januari mwaka 2023 hakuna majibu hadi leo, kama ombi la Kanisa haliwezekani au linawezekana wapeni majibu wahusika.” Amesema Dkt. Biteko

Dkt. Biteko amemwagiza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na Halmashauri ya Jiji la Mwanza kukutana  chini usimamizi wa Mkuu wa Mkoa siku ya Ijumaa (tarehe 22 Machi 2024) washughulikie  suala hilo na wahusika wapewe majibu ya changamoto husika.

Kuhusu ombi la AICT la kulipwa  fedha wanazodai Mfuko  wa Bima ya Afya (NHIF) takribani shilingi milioni 181, Dkt. Biteko amesema kuwa kabla ya mwisho wa mwezi huu fedha zote zitakuwa zimelipwa na hii ni  baada ya kufanya mazungumzo na Wizara ya Afya.

Aidha kuhusu ombi la kanisa hilo la kuwekewa mfumo wa majitaka amesema kuwa, litafanyiwa kazi kupitia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mwanza ( MWAUWASA).

Dkt. Biteko amesema kuwa,  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan  anatambua kuwa Serikali peke yake haiwezi kupeleka maendeleo kwa wananchi wote kwa wakati hivyo madhehebu ya dini yana mchango wake katika maendeleo.

Amesema Rais anatambua kuwa ili kuwa na jamii ya watu waliostaarabika na kuheshimika elimu ni jambo la msingi lakini pia nyumba za ibada zina umuhimu mkubwa katika kukuza watu kimaadili.

Ameongeza kuwa, Rais, Dkt. Samia yupo tayari muda wowote kuwasilikiza viongozi wa dini na kuchukua ushauri wao na kwamba anaamini katika maridhiano na kujenga Taifa lenye umoja.

Awali, Baba Askofu Mkuu wa AICT, Mussa Magwesela alisema kuwa, Kanisa linatambua juhudi za Serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi pamoja na ustawi wa kijamii na hivyo AICT itaendelea kuunga mkono juhudi hizo za Serikali kwa kutoa huduma mbalimbali kwa jamii ikiwemo kwenye Elimu na Afya pamoja na kuendelea kuhubiri amani, mshikamano na umoja.

Amesema kuwa, Kanisa hilo pia linaendelea kutoa elimu ya ujasiriamali katika maeneo mbalimbali nchini ili kuwakwamua wananchi kiuchumi, kwani AICT inatambua kuwa mwanadamu si roho pekeyake bali ana mwili wenye mahitaji mbalimbali.

Ameongeza kuwa, AICT pia itaendelea kushikamana na Serikali katika kupinga vitendo vyote ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania.

Vilevile Askofu Magwesela amesisitiza kuhusu umoja, uwazi, uwajibikaji, uadilifu na uaminifu katika utendaji kazi wa kila siku ili kutekeleza kwa ufanisi mipango inayowekwa ndani na nje ya Serikali.

Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mwakilishi wa Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Mhandisi Styden Rwebangira,  Maaskofu wa AICT kutoka Dayosisi zote 7 nchini na Baraza la Utendaji la Kanisa AICT.

Kanisa la AICT lilianzishwa miaka 115 iliypita na Makao yake Makuu yakiwa ni Mkoani Mwanza.

About the author

mzalendo