Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

MBUNGE MWAKAGENDA, WANAWAKE WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI WAIKUMBUKA HOSPITALI YA WILAYA YA GEITA

Written by Alex Sonna

Mbunge wa Mkoa wa Mbeya Sophia mwakagenda kwa kushirikiana na wanawake wachimbaji wadogo wa madini wametoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwamo ‘diaper’, sukari, sabuni na juice kwa akinamama waliojifungua na wanaosubiri kujifungua katika hospitali ya Wilaya ya Geita ikiwa ni Maadhimisho ya siku ya wanawak

Akizungumza Mkoa Geita katika hospitali hiyo leo Machi 9 2024, Mwakagenda alisema kuwa Kila mwanamke akijifungua lazima watu wamfariji huku akisema wao pamoja na wachimba hao wameona ni vema wakafariji akinamama hao na wale wanaosubiri kujifungua.

” Tunafahamu mwanamke yoyote anapojifungua lazima umpe pole, tumekuja hapa shopitali hii kuwapo hongera kwa waliojifungua na kuwatia moyo wale ambao wanaosubiri kujifungua kwa kuwapatia vitu kama sabuni,sukari “diaper”,” ameeleza Mwakagenda.

Aidha alimshukuru Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela kwa kukubali ombi lake la kuungana na wanawake wachimbaji wadogo wa madini kwenda kutoa msaada huo na kufanya kongamano wachimbaji hao katika Mkoa huo.

Mbunge wa Mkoa huyo aliishukuru
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS),kwa kuwapatatia fedha kwa ajili ya kununua vifaa mbalimbali kwa ajili ya kutoa msaada kwa aiknamama hao.

Naye Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Takwimu ya Taifa(NBS),Ruth Minja amesema kuwa wameshirikiana na uongozi wa Mkoa wa Geita pamoja na mbunge huyo kutoa zawadi, msaada katika Hospitali hiyo kuonesha ushirikiano na wanawake ambao wapo hospitalini kama Jumuiya moja ya watanzania.

“Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani ofisi ya NBS inashirikiana na wanawake wengine wote duniani pamoja na mbunge wa Mkoa Mwakagenda
na uongozi wote wa Mkoa wa Geita tumefika hapa kwa ajili ya kuungana na wanawake wenzetu wachimbaji wadogo wanawake kuwapa faraja akinamama hawa,”amesema.

Kaimu Mkuu wa Mkoa huo Liliani Rwegoshora ameishukuru serikali kwa kuhakikisha wanawake wanafanya kazi katika mazingira bora huku akisema pamoja na kuwajali wanawake hao wameona ni vema wakatoa vifaa kwa akinamama waliojifungua na wanaosubiri kujifungua.

“Tunashukuru mbunge Mwakagenda pamoja na kampuni yake binafisi ya Shim Media ametokea Mkoa wa Mbeya kuja Geita kutuletea kongamano ambalo litatupatia elimu juu ya mambo mbalimbali kwa wanawake wachimbaji, tunajua serikali kazi yake kubwa ni kuhakikisha wananchi wanakuwa na afya njema na tukielekea katika kongamano la wiki ya wanawake,” amesema.

Kwa upande wake Mganga Mfawidhi Hospitali ya Mji wa Geita Dk.Thomas Mafuru ametoa shukurani za dhati kwa wanawake wachimbaji wadogo wa madini katika Mkoa huo wakiongozwa na mbunge wa Mkoa wa Mbeya Mwakagenda katika siku ya Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kwa kutoa faraja kwa wangonjwa ikiwa ni pamoja na msaada wa vitu mbalimbali.

Aidha Mganga Mfawidhi huyo ametoa rai kwa vikundi vya wanawake kwenda kutembelea Hospitali hiyo na kauwakaribisha kuwapatia faraja wagonjwa hospitalini hapo.

Mara baada ya kupokea zawadi hizo mmoja wa akinamama hao Ashura Jumanne amemshukuru mbunge huyo kwa kuwakumbuka kuwapafaraja ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake dunia.

About the author

Alex Sonna