Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

NCHI ZA AFRIKA ZAKUBALIANA KUTUMIA TEKNOLOJIA KUONGEZA MAPATO

Written by mzalendo

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida (wa sita kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (wa tano kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. Simon Sirro (wa sita kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Tanzania na ubalozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 56 wa Mawaziri wa Fedha, Mipango na Maendeleo ya Uchumi Afrika, uliofanyika Victoria Falls, Zimbabwe.

Na. Eva Valerian na Peter Haule, WF, Victoria Falls, Zimbabwe

Mawaziri wa Fedha, Mipango na Maendeleo ya Uchumi wa nchi za Afrika wamekubaliana kuhakikisha wanakusanya na kutumia rasilimali zilizopo vizuri pamoja na kuboresha matumizi ya teknolojia ili kuongeza ukusanyaji wa mapato.

Hayo yamesemwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 56 wa Mawaziri wa Fedha, Mipango na Maendeleo ya Uchumi kutoka Afrika unaoratibiwa na Kamisheni ya Uchumi wa Afrika chini ya Umoja wa Mataifa (UNECA)

Bw. Mwandumbya alisema kuwa kupatikana kwa rasilimali za kutosha kutawezesha Serikali kuhudumia miradi, kutimiza malengo ya kibajeti pamoja na kulipa madeni ya Serikali.

“Tumekuwa na sauti ya pamoja ya kuhakikisha tunaboresha Sheria, kanuni na usimamizi wa taasisi zetu za kukusanya mapato ili kuhakikisha tunaongeza mapato zaidi kutoka kwenye vyanzo vyetu, kwa kuwa upatikanaji wa rasilimali kutoka nje kwa njia ya mikopo na misaada imekuwa na changamoto kubwa,”alisema Mwandumbya

Bw. Mwandumbya alifafanua kuwa katika mkutano huo imewekwa mikakati mbalimbali itakayosaidia kujenga uwezo kwenye taasisi zilizopo ndani ya nchi za Afrika ili kuwa na uwezo thabiti wa kufanikisha malengo ya nchi husika.

“Tanzania tunaichukua hii kama ni sehemu ya kuboresha ubunifu wetu katika kazi zetu za kila siku, kuweza kuhakikisha mikakati ambayo imewekwa na uzoefu tulioupata kutoka kwa wenzetu, tunaenda kuutumia kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi katika maeneo ya kazi na kuweza kushauri Serikali namna ya kuenenda ili kuongeza zaidi ukusanyaji wa mapato ya Serikali”, alisema Mwandumbya.

Mkutano huo wa 56 uliojumuisha Mawaziri wa Fedha, Mipango na Maendeleo ya Uchumi chini ya uratibu wa Umoja wa Mataifa (UNECA) umehitimishwa kwa kukubaliana kutekeleza yote yaliyoafikiwa kwa pamoja ili kuwa na Uchumi imara na kuweza kupata rasilimali za kulipa madeni.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. Simon Sirro (kushoto), baada ya kumalizika kwa mkutano wa 56 wa Mawaziri wa Fedha, Mipango na Maendeleo ya Uchumi Afrika, unaoratibiwa na Kamisheni ya Uchumi wa Afrika chini ya Umoja wa Mataifa (UNECA), uliofanyika Victoria Falls, Zimbabwe.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida, akizungumza jambo kwenye Mkutano wa 56 wa Mawaziri wa Fedha, Mipango na Maendeleo ya Uchumi Afrika, unaoratibiwa na Kamisheni ya Uchumi wa Afrika chini ya Umoja wa Mataifa (UNECA), uliofanyika Victoria Falls, Zimbabwe, kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida, akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. Simon Sirro (kushoto), baada ya kumalizika kwa mkutano wa 56 wa Mawaziri wa Fedha, Mipango na Maendeleo ya Uchumi Afrika, unaoratibiwa na Kamisheni ya Uchumi wa Afrika chini ya Umoja wa Mataifa (UNECA), uliofanyika Victoria Falls, Zimbabwe.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida, akizungumza kuhusu masuala ya mazingira na ushirikishwaji wa jamii katika maendeleo wakati wa Mkutano wa 56 wa Mawaziri wa Fedha, Mipango na Maendeleo ya Uchumi Afrika, unaoratibiwa na Kamisheni ya Uchumi wa Afrika chini ya Umoja wa Mataifa (UNECA), uliofanyika Victoria Falls, Zimbabwe, kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya na kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. Simon Sirro. 

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida (kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. Simon Sirro, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 56 wa Mawaziri wa Fedha, Mipango na Maendeleo ya Uchumi Afrika, unaoratibiwa na Kamisheni ya Uchumi wa Afrika chini ya Umoja wa Mataifa (UNECA), uliofanyika Victoria Falls, Zimbabwe.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida (wa sita kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (wa tano kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. Simon Sirro (wa sita kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Tanzania na ubalozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 56 wa Mawaziri wa Fedha, Mipango na Maendeleo ya Uchumi Afrika, uliofanyika Victoria Falls, Zimbabwe.

Mawaziri wa Fedha, Mipango na Maendeleo ya Uchumi pamoja na maafisa wengine kutoka nchi za Afrika wakiwa katika Mkutano wa 56 wa Mawaziri hao unaofanyika Victoria Falls, Zimbabwe.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Victoria Falls, Zimbabwe)

About the author

mzalendo