Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MAZIKO YA HAYATI ALI HASSAN MWINYI

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameshiriki Maziko ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi yaliyofanyika katika Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar. Tarehe 02 Machi 2024

About the author

mzalendo