Featured Kitaifa

CHATANDA NA SHOMARI WAMLILIA MZEE MWINYI

Written by mzalendoeditor

Viongozi wa Umoja wa wanawake Tanzania ( UWT)Chini ya Mwenyekiti wake Ndg Mary Chatanda na Makamu wake Zainab Shomari wameungana na viongozi mbalimbali kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja wa Amani Stadium, Zanzibar tarehe 02, Machi , 2024

Pumzika kwa Amani Mzee wa Rukhsa

About the author

mzalendoeditor