Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo, akiipongeza timu ya watalaam wa tathmini ya Uchumi kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) walioongozwa na Mkurugenzi wa Utafiti wa Uchumi kutoka Benki ya Zimbabwe, Bw. Nebson Mupunga (kushoto), kwa kukamilisha zoezi la tathmini hapa nchini, jijini Dodoma
Kiongozi wa Timu ya watalaam wa tathmini ya Uchumi kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Mkurugenzi wa Utafiti wa Uchumi kutoka Benki ya Zimbabwe, Bw. Nebson Mupunga (kushoto), akizungumza jambo wakati wa mkutano na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo, baada ya kukamilisha zoezi la tathmini ya hali ya uchumi nchini, jijini Dodoma.
Kamishina Msaidizi wa Idara ya Sera, Wizara ya Fedha, Bw. Mbayan Saruni, akizungumza jambo na Kiongozi wa Timu ya watalaam wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Mkurugenzi wa Utafiti wa Uchumi kutoka Benki ya Zimbabwe, Bw. Nebson Mupunga (kulia), baada ya kukamilisha zoezi la tathmini ya hali ya uchumi nchini, jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo, akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi wa timu ya watalaam wa tathmini ya Uchumi kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Bw. Nebson Mupunga (kushoto) na Afisa Mwandamizi kutoka SADC, Dkt. Samuel Dlamini, jijini Dodoma
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo, akiongoza kikao cha majumuisho kati yake na timu ya watalaam wa tathmini ya uchumi kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) iliyoongozwa na Bw. Nebson Mupunga (kulia), baada ya kukamilisha zoezi la tathmini, jijini Dodoma
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo (wa tano kulia), Kiongozi wa Timu ya watalaam wa tathmini ya uchumi kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Bw. Nebson Mupunga (wa sita kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Tanzania na SADC, baada ya kukamilisha zoezi la tathmini ya hali ya uchumi nchini, jijini Dodoma
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano- Wizara ya Fedha)