Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

BARABARA YA TANGA -KILOSA -MIKUMI -LUPEMBE KUPANDISHWA HADHI KUWA BARABARA KUU “TRUNK ROAD”

Written by mzalendo

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ulaya, Wilayani Mikumi mara baada ya kukagua barabara ya Dumila-Kilosa-Ulaya-Mikumi (Km 142) kwa kiwango cha lami, Mkoani Morogoro.

Muonekano wa Barabara ya Rudewa-kilosa (Km 24 ) kwa kiwango cha lami, Mkoani Morogoro

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akikagua moja ya Daraja katika Barabara ya Dumila-Kilosa, Mkoani Morogoro. 

…………….

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga – Kilosa – Mikumi – Lupembe kuwa barabara kuu ‘Trunk Road’ ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe.


Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua ujenzi wa barabara ya Dumila-Kilosa-Ulaya-Mikumi (km 142) kwa kiwango cha lami sehemu ya pili, Rudewa-Kilosa (km 24), ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 98.


“Barabara inayoanzia Tanga bandarini kupitita Handeni – Mziha – Dumira – Kilosa – Mikumi – Ifakara mpaka Lupembe mkoani Njombe lazima tuitangaze iwe ni mojawapo ya barabara kuu ‘Trunk road’ ili iweze kuipatiwa bajeti ya kutosha na kuweza kuihudumia wakati wote”, amesema Bashungwa.

Aidha, Bashungwa amemtaka Mkandarasi M/s Umoja – Kilosa Jv anayetekeleza mradi huo kufanya kazi usiku na mchana na kuhakikisha barabara na madaraja yanakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa kwenye mkataba kwani fedha zote zimeshalipwa na ifakapo mwezi wa nne mwishoni waikabidhi barabara hiyo kwa wananchi.


Bashungwa akijibu ombi la Mbunge wa Kilosa, Prof. Palamagamba Kabudi la uwekaji wa taa, amesema Wizara itatenga bajeti ya ufungaji wa taa 120 katika kipande cha kilometa tatu katika barabara ya Rudewa – Kilosa.


Aidha, Waziri Bashungwa amemuelekeza Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Morogoro kuhakikisha wanatenga bajeti za matengenezo ya upanuzi wa njia ya maji katika mito yote ili mvua zitakaponyesha zisilete athari kwenye miundombinu ya barabara.


Akitoa taarifa ya mradi kwa niaba ya Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Kaimu Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miradi, Mhandisi Malima Kusesa, amesema mradi wa ujenzi wa barabara ya Dumila-Kilosa-Ulaya-Mikumi (km 142) kwa kiwango cha lami sehemu ya pili, Rudewa-Kilosa (Km 24) umefikia asilimia 98.3 na sehemu iliyobaki ni ujenzi wa madaraja matatu ambayo yanaunganisha barabara hiyo.

Vilevile ameongeza kwa kusema kuwa mradi huo unafadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa asilimia 100.


Kwa upande wake Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi, ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami kwani muhimu katika uchumi wa wana Kilosa.


Utekelezaji wa mradi huo ni moja ya mkakati wa Serikali katika kukuza uchumi  na kuunganisha mikoa ya kaskazini (Tanga, Kilimanjaro na Arusha) na Mikoa ya Kusini (Iringa, Mbeya na Ruvuma) kupitia Turiani na Mziha. 

About the author

mzalendo