Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

Brain Savior Review

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

madridbet giriş

NervEase

hacker google hacked

sapanca escort

matbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Jojobet

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

matbet, matbet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

supertotobet

tümbet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Meritking

tarafbet giriş

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

madridbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

jojobet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

tipobet

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

betcio, betcio giriş

pokerklas, pokerklas giriş

betsat

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

jojobet

tipobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

winxbet, winxbet giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

pusulabet

vdcasino

marsbahis

matbet

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

mislibet giriş

holiganbet giriş

grandpashabet

holiganbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

betist

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

casifix

robinbet

betkare

imajbet

betpark

betkare

matbet

Featured Kitaifa

WANAUME KAHAMA WACHANGAMKIA TOHARA KINGA, WAANIKA FAIDA LUKUKI

Written by Alex Sonna
Afisa Mradi wa Afya Hatua kutoka Shirika la AFYA PLUS Shinyanga, Joel Andwilege akionesha vifaa mbalimbali vilivyopo katika gari maalumu la Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume

 Watoa huduma za tohara wakiendelea na upasuaji katika Kliniki ya Tohara kwa wanaume  Hospitali ya Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga

Meneja Mradi wa Afya Hatua wa THPS Mkoa wa Shinyanga Dkt. Amos Scott akielezea namna wanavyotoa huduma za tohara kinga kwa wanaume kupitia vituo vya afya na Gari maalumu linalotoa huduma za tohara kinga kwa wanaume (Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume)


Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Wanaume wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga wamenufaika na huduma ya tohara Kinga inayotolewa kwenye vituo vya afya pamoja na Kliniki Tembezi maarufu huduma mkoba za tohara kinga inayofikisha huduma kwenye maeneo ya mbali na ambayo ni magumu kufikika.

Mafanikio hayo makubwa ya Afua ya Tohara yamebainika wakati wa ziara ya Waandishi wa Habari Wilayani Kahama iliyofanyika Februari 19 -20,2024  iliyolenga kuangalia utekelezaji wa Afua ya Tohara Kinga kwa wanaume inayotokelezwa na THPS na Afya PLUS kwa kushirikiana na serikali kupitia Mradi wa Afya Hatua unaofadhiliwa na PEPFAR kupitia CDC.

Huduma ya tohara Kinga inayotolewa kupitia Afua ya Tohara kwa wanaume inatekelezwa na Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS) kupitia mradi wa Afya Hatua kwa kushirikiana  na AFYA PLUS pamoja na Serikali kupitia Mradi wa Afya Hatua unaofadhiliwa na Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kukabiliana na UKIMWI – The U.S President’s Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) kupitia Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa cha Marekani (The U.S. Centers for Disease Control -CDC).

Muonekano wa bango linaloelekeza Kliniki ya Tohara kwa wanaume katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama 
 
Mmoja wa wanufaika wa tohara Kinga, Jidayi Sikania Bida kutoka Kahama ameeleza kuwa tohara kinga imemfanya kuwa jasiri na kujiamini hivyo kuwashauri wanaume kujitokeza kupata huduma ya tohara ili kujikinga dhidi ya maambukizi ya VVU kwa 60%, kuimarisha usafi na kujikinga na magonjwa ya zinaa.

“Tohara ni bure na haiumizi, ni salama inaleta furaha na ina manufaa mazuri,inasaidia maisha yako. Ukifanyiwa tohara nguvu za kiume hazipungui . Baada ya kufanyiwa tohara mwaka 2023 hivi sasa kwanza ninaringa kwa sababu nimekuwa msafi, ninajiamini muda wote”,ameeleza Bida.

Naye Mhamasishaji wa Tohara Kinga ngazi ya Jamii, Shaban Hamimu amesema mwitikio wa wanaume kupata tohara kinga ni mkubwa kwani hivi sasa wanaume hawana uoga wala aibu ya kufanyiwa tohara kwani wametambua faida za tohara kinga.

Afisa Mradi wa Afya Hatua kutoka Shirika la AFYA PLUS Shinyanga, Joel Andwilege anasema Kliniki Tembezi ya Tohara Kinga imesaidia sana kuwafikia wanaume wenye umri mkubwa waliopo kwenye maeneo ambayo hakuna huduma za tohara ambapo kwa siku wanatoa huduma kwa wanaume 10 hadi 20 kutokana na eneo husika.

Huduma za tohara zikiendelea kutolewa ndani ya gari maalumu la Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume

“Katika Kliniki tembezi ya Tohara Kinga huduma zote zinazopatikana kwenye vituo vya afya zinapatikana. Tunaenda kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya wanaume, migodini, kambi za wakulima na maeneo ya pembezoni na tunatoa huduma hadi nyakati za usiku ili kuwapa nafasi wanaume ambao hawapati muda kuja nyakati za mchana na kulinda usiri kwa wateja wetu ambao wanaona aibu, hawapendi kuonekana wamepatiwa huduma”,amesema Andwilege.

Kwa upande wake, Mtoa huduma za tohara katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama, Hadji Sued amesema vijana wenye umri kuanzia miaka 15 wamekuwa wakiletwa na wazazi wao kupata huduma za tohara kinga kutokana na hamasa kubwa zinazofanyika kwenye shule.

Meneja Mradi wa Afya Hatua wa THPS Mkoa wa Shinyanga Dkt. Amos Scott ameishukuru PEPFAR kupitia CDC na Timu ya Usimamizi wa huduma za Afya ya Mkoa wa Shinyanga kwa ushirikiano wanaoutoa kwani tangu waanze kutekeleza mradi wa Afya Hatua mwaka 2021 kumekuwa na mafanikio makubwa ambapo uhamasishaji wa tohara kinga umekuwa mkubwa.

Meneja Mradi wa Afya Hatua wa THPS Mkoa wa Shinyanga Dkt. Amos Scott akielezea kuhusu huduma za tohara kinga kwa wanaume kwa njia ya Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume.

Ameeleza kuwa, THPS kupitia Mradi wa CDC/PEPFAR Afya Hatua imesaidia upatikanaji wa huduma za tohara kinga ya hiari kwa wanaume (VMMC) kama moja ya afua za kuzuia maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (VVU) katika mikoa ya Kigoma na Shinyanga tangu Oktoba 2021.

Dkt. Scott amesema THPS inashirikiana na AFYA Plus kutekeleza huduma za tohara katika Halmashauri zote sita mkoani Shinyanga,  lengo likiwa ni kuongeza na kuendeleza ubora na usalama wa utoaji wa huduma za tohara kinga  kwa vijana na wanaume wenye umri wa miaka 15 na kuendelea ili kufikia asilimia 90% ya utoaji wa huduma hizo kwa wanaume katika Halmashauri zote zinazosaidiwa ifikapo 2026.

Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama Dkt. Henry Sylivester amesema Afua ya Tohara Kinga kwa wanaume imekuwa na mafanikio makubwa wilayani Kahama ambapo vijana wenye umri wa kuanzia miaka 15 wamekuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye vituo vya kutolea huduma za afya na kwa upande wa wanaume, wengi wamekuwa wakijitokeza zaidi kwenye huduma ya Utoaji wa huduma mkoba za tohara kinga inayoinalengazinazo lenga  kufikisha huduma katika maeneo ya mbali na ambayo ni magumu kufikika.

 Dkt. Henry Sylivester

Amesema kwa kipindi cha Mwezi Oktoba hadi Desemba 2023 katika Manispaa ya Kahama, wamefanikiwa kuwafikia wanaume 3962 kati ya wanaume 9186 waliolengwa kufikiwa na huduma ikiwa ni sawa na asilimia 43 ambapo ni juu ya malengo ya 25% waliyojiwekea kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2023/2024.

“Wanaume Kahama wamechangamkia huduma ya tohara Kinga. Tohara hii haina madhara ndiyo maana wengi wanajitokeza na mwitikio ni mkubwa hasa kwenye huduma Mkoba za Tohara ambako tukishirikiana na THPS na AFYA Plus tumeweka nguvu zaidi ili kuwafuata wanaume huko walipo”,ameeleza Dkt. Sylivester.

Ameeleza kuwa, hamasa ya wanaume kujitokeza kwa wingi kufanyiwa tohara inatokana na wanaume kutambua faida za tohara ikiwemo kujikinga na maambukizi ya VVU kwa 60%, kuimarisha usafi, kujikinga na magonjwa ya ngono, kukinga saratani ya uume na saratani ya mlango wa kizazi.

“Wanaume sasa wameondokana na Imani potofu kama yale madai kwamba tohara inapunguza nguvu za kiume, ngozi inayoondolewa kutumika kwa Imani za kishirikina, mtazamo kwamba baada ya kufanyiwa tohara kidonda huchukua muda mrefu kupona hivyo kuchelewa kushiriki tendo la ndoa. Kwa kweli mabadiliko ni makubwa sana kutokana na hamasa tunayoendelea kutoa”, ameongeza Dkt. Sylivester.

Kwa mujibu wa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile Kwa kipindi cha Januari 2022 hadi Desemba 2023, afua ya tohara kwa wanaume kupitia mradi wa Afya Hatua imewafikia kwa huduma za tohara kinga jumla ya wanaume 73,927 wenye umri wa miaka 15 na zaidi kupitia kliniki za tohara 35 zinazotoa huduma za tohara na huduma mkoba zilizofanyika katika vituo 145 vya kutolea huduma za afya mkoani Shinyanga.

Amesema katika robo ya kwanza ya mwaka wa tatu wa mradi (2023/2024), mradi huo ulifikia jumla ya wanaume 26, 752 wenye umri wa miaka 15 na zaidi, hii ikiwa ni asilimia 29% ya lengo la mwaka huo wa fedha ambalo ni kuwafikia wanaume 91,022.

 

 

Mnufaika wa tohara Kinga, Jidayi Sikania Bida akielezea namna alivyonufaika na huduma ya tohara na kuwahamasisha wanaume kujitokeza kupata huduma ya tohara.
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama Dkt. Henry Sylivester akielezea kuhusu Afua ya Tohara kwa wanaume inayotolewa na THPS, AFYA PLUS na Serikali kupitia Mradi wa Afya Hatua unaofadhiliwa na PEPFAR kupitia CDC

 

 

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akielezea kuhusu Afua ya Tohara kwa wanaume inayotolewa na THPS, AFYA PLUS na Serikali kupitia Mradi wa Afya Hatua unaofadhiliwa na PEPFAR kupitia CDC
Mtoa huduma za tohara katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama, Hadji Sued akieleza namna wanavyotoa huduma za tohara katika Kliniki ya Tohara kwa wanaume katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga
Mmoja wa watoa huduma za Tohara akitoa elimu ya tohara kwa vijana (hawaonekani pichani) waliofika katika Kliniki ya Tohara kwa wanaume katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga
 Watoa huduma za tohara wakiwa katika chumba cha upasuaji katika Kliniki ya Tohara kwa wanaume  Hospitali ya Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga

 

 

Gari maalumu linalotoa huduma za tohara kinga kwa wanaume (Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume) likiwa katika eneo la Shunu kata ya Nyahanga wilayani Kahama, huduma za tohara zikiendelea kutolewa  
Gari maalumu linalotoa huduma za tohara kinga kwa wanaume (Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume) likiwa katika eneo la Shunu kata ya Nyahanga wilayani Kahama, huduma za tohara zikiendelea kutolewa  

 

 

Gari maalumu linalotoa huduma za tohara kinga kwa wanaume (Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume) likiwa katika eneo la Shunu kata ya Nyahanga wilayani Kahama, huduma za tohara zikiendelea kutolewa 
Mhamasishaji wa Tohara Kinga ngazi ya Jamii, Shaban Hamimu akielezea namna anavyohamasisha wanaume kupata tohara kinga
Afisa Mradi wa Afya Hatua kutoka Shirika la AFYA PLUS Shinyanga, Joel Andwilege akielezea namna wanavyotoa huduma za tohara kinga kwa wanaume kwa mbinu ya Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume
Afisa Mradi wa Afya Hatua kutoka Shirika la AFYA PLUS Shinyanga, Joel Andwilege akionesha vifaa mbalimbali vilivyopo katika gari maalumu la Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume
Afisa Mradi wa Afya Hatua kutoka Shirika la AFYA PLUS Shinyanga, Joel Andwilege akionesha vifaa mbalimbali vilivyopo katika gari maalumu la Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume
Huduma za tohara zikiendelea katika gari maalumu la Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume katika eneo la Shunu kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama
Huduma za tohara zikiendelea katika gari maalumu la Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume katika eneo la Shunu kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama
Huduma za tohara zikiendelea katika gari maalumu la Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume katika eneo la Shunu kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama
 
Elimu ya tohara ikiendelea kutolewa kwenyeKliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume katika eneo la Shunu kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama
Maandishi katika gari maalumu la Kliniki Tembezi ya Tohara kwa wanaume.
 
Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 

About the author

Alex Sonna