Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA NISHATI NORWAY

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Jukwaa la Nishati la Oslo nchini Norway tarehe 14 Februari, 2024.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Nishati la Oslo nchini Norway tarehe 14 Februari, 2024.
    Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Nishati la Oslo nchini Norway tarehe 14 Februari, 2024.

About the author

mzalendo