Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ATETA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA BUNGE LA NORWAY

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting) Svein Harberg katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting) Svein Harberg katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipeana mkono na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting) Svein Harberg mara baada ya mazungumzo katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni katika Ofisi za Bunge la Norway (Storting) tarehe 13 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika eneo la Mnara wa Kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting) Svein Harberg mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.

About the author

mzalendo