Featured Kimataifa

DKT.TULIA ATETA NA KATINU MKUU UN

Written by mzalendo

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Antonio Guterres, katika Ofisi za Makao Makuu ya UN zilizopo New York nchini Marekeani jana Februari 12, 2024

PICHA NA OFISI YA BUNGE

About the author

mzalendo