Msemaji wa Pantagon nchini Marekani Meja Jenerali Pat Ryder amesema kuwa Waziri wa ulinzi wa nchi hiyo Llyod Austin mwenye umri wa miaka 70 amelazwa hospitalini huku akiendelea na majukumu yake akiwa hospitali.

Austin alikosolewa mwezi uliopita kwa kushindwa kutangaza kwamba aligunduliwa na saratani na kulazwa kwake hospitali mwezi Disemba na Januari, ikiwemo kutompa taarifa Rais Joe Biden.

Waziri huyo anatarajiwa kujieleza mbele ya bunge kuhusu hali yake ya afya Februari Feb 29,2024.

Previous articleSERIKALI KUENDELEA KUTOA KIPAUMBELE KWA WANAOSOMA MASOMO YA SAYANSI
Next articleNELSON MANDELA YAHAMASISHA WASICHANA KUPENDA SAYANSI.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here