Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko.

Previous articleMAHUNDI ASHIRIKI MKUTANO WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI BONDE LA ZIWA VICTORIA KENYA.
Next articleMCHENGERWA:ALAT SIMAMIENI NIDHAMU YA MADIWANI NA WAKURUGENZI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here