Photos

MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MAWAZIRI KUHUSU NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Written by mzalendo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko.

About the author

mzalendo