Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

deneme bonusu

casibom giriş

Grandpashabet giriş

google

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet Güncel Giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

maxwin

jojobet

casibom

ultrabet giriş

lunabet

jojobet

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

piabellacasino

ultrabet

piabellacasino

piabellacasino

kulisbet

betlike

artemisbet

piabellacasino

jojobet giriş

mavibet

casinoroyal

artemisbet

hdabla

doeda

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin giriş

matbet

dinamobet giriş

jojobet

casibom

ultrabet

goldenbahis

jojobet

jojobet

casibom

casibom

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

jojobet

royalbet

jojobet

kafacasino

betface

pashagaming

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

avrupabet

betsat

betpark giriş

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

Uncategorized

MKATABA WA UMEME MEGAWATI 49.5 KWA NGUVU YA MAJI MTO MALAGARASI KIGOMA WASAINIWA

Written by mzalendo

 

NAIBU  Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akishuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa uzalishaji umeme wa megawati 49.5 kwa nguvu ya maji katika Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Wanaosaini ni Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga (kulia) na Meneja Mradi kutoka kampuni ya Dongfang Electric International ya nchini China, Ni Zhihong.hafla hiyo imefanyika leo Februari 8,2024 jijini Dodoma.

NAIBU  Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akishuhudia wakibadilishana mkataba wa ujenzi wa mradi wa uzalishaji umeme wa megawati 49.5 kwa nguvu ya maji katika Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Wanaosaini ni Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga (kulia) na Meneja Mradi kutoka kampuni ya Dongfang Electric International ya nchini China, Ni Zhihong.hafla hiyo imefanyika leo Februari 8,2024 jijini Dodoma.

NAIBU  Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa uzalishaji umeme wa megawati 49.5 kwa nguvu ya maji katika Mto Malagarasi mkoani Kigoma. hafla iliyofanyika leo Februari 8,2024  jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na WenyeUlemavu Mhe. Profesa Joyce Ndalichako,akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Uzalishaji Umeme wa Megawati 49.5 kwa nguvu ya Maji Katika Mto Malagarasi Mkoani Kigoma.hafla iliyofanyika leo Februari 8,2024 jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu shirika la Umeme  nchini (TANESCO) Mhandisi Gissima Nyamohanga,akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Uzalishaji Umeme wa Megawati 49.5 kwa nguvu ya Maji Katika Mto Malagarasi Mkoani Kigoma.hafla iliyofanyika leo Februari 8,2024 jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye,akitoa neno la shukrani mara baada ya kumalizika kwa  hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Uzalishaji Umeme wa Megawati 49.5 kwa nguvu ya Maji Katika Mto Malagarasi Mkoani Kigoma.hafla iliyofanyika leo Februari 8,2024 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakisikiliza Hotuba ya Naibu   Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa uzalishaji umeme wa megawati 49.5 kwa nguvu ya maji katika Mto Malagarasi mkoani Kigoma. hafla iliyofanyika leo Februari 8,2024  jijini Dodoma.

……

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kutekeleza miradi mipya uzalishaji wa umeme badala ya kutegemea vyanzo vya zamani ili kuendana ongezeko kubwa la mahitaji ya
umeme nchini.

Dkt. Biteko amesema hayo tarehe  08 Februari 2024 Jijini Dodoma wakati baada ya kushuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa uzalishaji umeme wa megawati 49.5 kwa nguvu ya maji katika Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Mkataba huo umesainiwa na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na kampuni ya Dongfang Electric International  kutoka
Jamhuri ya Watu wa China.

“Lazima tuwe na vyanzo vingi na vipya vya umeme, kiu na njaa ya umeme tuliyonayo inatufanya tufikirie namna ya kupata umeme kwa haraka, mahitaji ya umeme yameongezeka sana lakini vyanzo ni vilevile kwa miaka mingi mfano Bwawa la Mtera lilijengwa  mwaka 1980, Kidatu mwaka 1975, Kihansi mwaka 2000, Pangani 1995, Hale 1968, Nyumba ya Mungu
1964 na mwaka 2019 baada ya Gesi kuanza uzalishaji umeme  mahitaji yalikuwa pungufu kuliko uzalishaji, lakini sasa mahitaji ni makubwa kuliko vyanzo.” Amesema Dkt. Biteko

Amesema  kutokana na mahitaji ya umeme kuwa makubwa kuliko vyanzo vyake, Serikali inaendelea kuongeza vyanzo vipya ikiwemo mradi  wa Malagarasi ambao utekelezaji wake utachukua miezi 42 na utekelezaji wa mradi wa Julius Nyerere (JNHPP) ambao kwa sasa umekamilika kwa asilimia 96 na unatarajia  kuingiza umeme kwenye gridi ya Taifa mwezi huu.

Ameeleza kuwa, utekelezaji wa miradi hiyo mipya ni maagizo ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa vyanzo vyote vilivyopo vianze kujengwa sasa ukiwemo miradi ya umeme ya Kakono, Kikonge, Luhudji, Rumakali na miradi ya Gesi mkoani Mtwara ili kuwa na umeme wa kutosha kwa mahitaji ya nchi.

Ili kuwa na umeme kutoka vyanzo mchanganyiko, Dkt, Biteko ametanabaisha kuwa, ameshatoa maagizo kwa watendaji wa Wizara na TANESCO kuhakikisha wanabadilika na kuboresha huduma zao kwa wananchi
na kuwezesha uwekezaji katika miradi ya kuzalisha umeme kwa nguvu ya Jua na Upepo.

Dkt. Biteko amesema Pamoja na mradi wa Mto Malagarasi, kuna miradi mingine mitatu ikiwemo usafirishaji wa umeme kutoka Nyakanazi hadi Kigoma (kV 400), Tabora
hadi Kigoma (kV 132), kuongezwa uwezo wa kituo cha umeme wa Jua cha Kigoma kutoka megawati 5 hadi megawati 10

Katika hatua nyingine, Dkt. Biteko amesema kuwa uboreshaji wa miundombinu nchi nzima unaendelea na hii inajumuisha ujenzi wa vituo vya kupoza umeme katika maeneo mbalimbali nchini na kwa kuanzia
vinajengwa vituo 24 katika maeneo ya kimkakati ili kutengemaza gridi
ya Taifa.

Aidha, ameishukuru Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kwa kutoa mkopo wa masharti nafuu wa kiasi cha Dola za Marekani milioni 140 ili kutekeleza mradi wa Malagarasi ambapo Serikali ya Tanzania imetoa Dola za Marekani Milioni 4.14. Amesema Benki hiyo imeendelea kuiunga mkono Serikali katika miradi mbalimbali nchini.

Vilevile, amewaagiza Wakandarasi kutekeleza mradi huo kwa haraka na ufanisi kama ilivyo kwa mradi wa umeme wa JNHPP ili wananchi wa Kigoma na nchi nzima wapate umeme wa uhakika.

Mradi  wa Malagarasi unahusisha ujenzi wa eneo la kufua umeme wa maji, njia za kupitisha maji, jumba la mitambo ya umeme, kituo cha kupokea na kusafirisha umeme, ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa
kV 132 ambayo itaunganishwa kwenye Gridi ya Taifa kupitia kituo cha Kidahwe- Kigoma na  kuunganisha umeme kwenye vijiji 7 vitakavyopitiwa na mradi.

Kwa upande wake Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na WenyeUlemavu Mhe. Profesa Joyce Ndalichako amesema mbali na uzalishaji wa megawati 49.5 kuongeza kiwango cha umeme katika gridi ya Taifa, pia hatua hiyo itachochea anzishaji na ukuaji wa viwanda katika mkoa wa Kigoma.

Ameongeza kuwa kupitia hali hiyo, ajira zitaongezeka na kuwezesha wananchi kushiriki katika kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kigoma na Taifa kwa ujumla.

Awali Mkurugenzi Mtendaji Mkuu shirika la Umeme  nchini (TANESCO) Mhandisi Gissima Nyamohanga amesema ujenzi wa mradi huo Utagharimu Dola  za Kimarekani 144.14 na utachukua miezi 42 hadi kumalizika .
Pia ameishukuru Benki ya Maendeleo ya Afrika  kwa  mkopo nafuu kwa kutoa Dolla za kimarekani Milioni 140 huku Serikali ya Tanzania kutia Dolla  Million 4.4.
Amesema mradi wa kufufua Umeme kwa nguvu ya maji wa Mto Malagalasi upo kilometa 100 kusini mwa Mji wa kigoma, kilometa 27 kusini mwa Barabara kuu ya Uvinza  – Kigoma katika Kara ya Kazuramimba  kijiji cha Igamba kwenye Mto Malagalasi wenye lengo kuu la kuboresha  usambazaji wa Umeme Magharibi mwa Tanzania ili kuchochea shughuli za kijamii na kiuchumi  katika mikoa ya Magharibi mwa nchi ikiwemo kigoma.
Mradi huo utawezesha ongezeko la Umeme katika Gridi ya Taifa na kuwezesha biashara Umeme wa kanda na mradi wa Malagalasi unatarajiwa kuzalisha Umeme wa wastani wa Gigawati 181 kwa mwaka .
Lakini pia amesema mradi kabla ya kuanza ulikuwa na changamoto ya kumpata mkandarasi na tatizo hilo liliweza kupatiwa ufumbuzi

Naye  Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema maono na maelekezo ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu uzalishaji wa nishati mkoani humo yameuheshimisha Mkoa wa Kigoma na Taifa kwa
ujumla.

Amesema uzalishaji wa megawati 49.5 za umeme utapunguza gharama za uendeshaji ambapo kwa sasa zinatumika lita 28,000 za mafuta kwa siku kwa ajili ya kuzalisha umeme.

 

About the author

mzalendo