Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

jojobet güncel giriş

poker

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

betixir giriş

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

madridbet giriş

meritking

Milanobet

casibom giriş

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

meritking giriş

bets10

casibom güncel giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet

meritking

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

pusulabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

casino sites

Hacklink Panel

radissonbet

vdcasino

bets10 giriş

jojobet giriş

nerobet

cratosroyalbet

jojobet güncel giriş

meritking giriş

cratosroyalbet giriş

Meritking

jojobet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

tarafbet

kingroyal

perabet

pulibet

trust score weak 3

padisahbet

ikimisli giriş

tipobet

meritking

cratosroyalbet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet adres

marsbahis giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

interbahis, interbahis giriş

caddebet, caddebet giriş

lunabet, lunabet giriş

grandpashabet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

grandpashabet

jojobet

perabet

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

kulisbet, kulisbet giriş

Google

primebahis

primebahis

marsbahis

sweet bonanza siteleri

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom giriş

sweet bonanza siteleri

sweet bonanza oyna

deneme bonusu

esbet

casinoroyal

holiganbet

1win

tambet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

casibom

jojobet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

meritking

marsbahis

jojobet giris

jojobet telegram

holiganbet

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giriş

betpuan

Hacklink panel

jojobet

marsbahis

Google

jojobet

meritking

jojobet giriş

holiganbet giriş

jojobet telegram

casibom giriş

jojobet giriş

casibom giriş

casibom güncel giriş

jojobet giriş

matbet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

mavibet giriş

meritking

truvabet

betgaranti

betoffice

timebet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

sweet bonanza

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

cratosroyalbet

robinbet

hitbet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

interbahis, interbahis giriş

yakabet

jojobet

jojobet giris

jojobet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

holiganbet güncel giriş

casibom güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

marsbahis

jojobet adres

jojobet adres

jojobet

holiganbet giriş

holiganbet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet giris

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet giris

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet adres

jojobet güncel giriş

goldenbahis

gizabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

kulisbet

deneme bonusu

jojobet giriş

Grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Featured Kitaifa

MKOA WA SIMIYU KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA AMREF TANZANIA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA VVU/UKIMWI

Written by Alex Sonna
Wakili Mwanahamisi Kawega, akimwakilisha Katibu Tawala Mkoa Simiyu, Bi Prisca Kayombo, Wakati wa Mkutano wa tathimini wa robo ya kwanza ya mwaka wa mradi wa Afya Thabiti, Mradi huo unaofadhiliwa na PEPFAR kupitia CDC Tanzania na kutekelezwa na Amref Tanzania kwa kushirikiana na CIHEB Tanzania, TCDC Tanzania na timu za afya za mikoa na halmashauri (R/CHMT) katika mkoa ya Simiyu unalenga kuimarisha utoaji wa huduma na matibabu ya kufubaza VVU katika Kliniki za VVU/UKIMWI za serikali na za hospitali teule ili kuongeza kasi ya kufikia malengo ya 95-95-95 ya kudhibiti janga la UKIMWI nchini.
Ernest Kisandu, Mwakilishi kutoka Ofisi va Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wakati Mkutano wa tathimini wa robo ya kwanza ya mwaka wa mradi wa Afya Thabiti.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Boniface Maro (aliyesimama) wakati wa Mkutano wa tathimini wa robo ya kwanza ya mwaka wa mradi wa Afya Thabiti. Mradi huo unaofadhiliwa na PEPFAR kupitia CDC Tanzania na kutekelezwa na Amref Tanzania kwa kushirikiana na CIHEB Tanzania, TCDC Tanzania na timu za afya za mikoa na halmashauri (R/CHMT) katika mkoa ya Simiyu unalenga kuimarisha utoaji wa huduma na matibabu ya kufubaza VVU katika Kliniki za VVU/UKIMWI za serikali na za hospitali teule ili kuongeza kasi ya kufikia malengo ya 95-95-95 ya kudhibiti janga la UKIMWI nchini.
Dkt Rita Mutayoba, Mkurugenzi wa kiufundi wa Mradi wa Afya Thabiti, Amref Tanzania
Picha ya Pamoja wakati Mkutano wa tathimini wa robo ya kwanza ya mwaka wa mradi wa Afya Thabiti.
 
Simiyu, Tanzania – Februari 07-08, 2024
 
Shirika la Amref Health Africa, Tanzania kwa kushirikiana na Uongozi na timu za Afya za mkoa na halmashauri za Simiyu imefanya Mkutano wa tathimini wa robo ya kwanza ya mwaka wa mradi wa Afya Thabiti, mkutano huo wenye lengo la Kupokea taarifa ya utendaji wa kipindi cha robo mwaka wa kwanza (October-December 2023) wa mradi na Kujadili mafanikio, changamoto na mafunzo yaliyopatikana wakati wa utekelezaji wa mradi wa Afya Thabiti wenye lengo la kutoa huduma za VVU/UKIMWI katika mkoa wa Simiyu na Mara.
 
 
Mradi huo unaofadhiliwa na PEPFAR kupitia CDC Tanzania na kutekelezwa na Amref Tanzania kwa kushirikiana na CIHEB Tanzania, TCDC Tanzania na timu za afya za mikoa na halmashauri (R/CHMT) katika mkoa ya Simiyu unalenga kuimarisha utoaji wa huduma na matibabu ya kufubaza VVU katika Kliniki za VVU/UKIMWI za serikali na za hospitali teule ili kuongeza kasi ya kufikia malengo ya 95-95-95 ya kudhibiti janga la UKIMWI nchini.
 
Mkutano huo uliohudhuriwa na viongozi kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa ana Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na ulifunguliwa na Mkuu wa Kitengo cha Sheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Wakili Mwanahamisi Kawega, akimwakilisha Katibu Tawala Mkoa Simiyu, Bi Prisca Kayombo.
 
Akizungumza na washiriki Wakili Kawega alisema, “Mkoa wa Simiyu umefanikiwa kufikia malengo matatu muhimu ya kimataifa ya 95:95:95 katika mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya VVU. Lengo la kwanza la 95, ni kuhakikisha wananchi wenye maambukizi ya VVU wanatambua hali zao limefikiwa kwa asilimia 100.4%, ikilinganishwa na lengo la asilimia 95%. Lengo la pili la 95, kuwapa dawa wenye VVU limefikiwa kwa asilimia 96.7%, na lengo la tatu (95) la kuwahimiza watu hao kutumia dawa ili kufubaza virusi vya UKIMWI limefikiwa kwa asilimia 97.4%, ikilinganishwa na lengo la asilimia 95%”.
 
 
Hata hivyo, kuna kundi la vijana na watoto kuanzia umri wa miaka 0-24, ambalo bado halijafikia viwango vya kutambua hali zao za VVU na kutumia dawa. Ni muhimu kutoka na maadhimio ya jinsi ya kufikia kundi hili na kuwahimiza kutumia dawa”. Aliongeza Wakili Kawega.
 
Akizungumza na washiriki, Wakili Kawega alisema, “Ni muhimu kutambua kwamba huu ni mradi muhimu na fursa kubwa, na hivyo basi ni wakati wa kutumia vyema mradi huu ili kuhakikisha kuwa wananchi wengi zaidi wanafikiwa na kupata huduma zinazostahili”.
 
 
Ernest Kisandu, Mwakilishi kutoka Ofisi va Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) alisema Wizara itaendelea kutoa ushirkiano kwa Wadau mbalimbali wa kupambana na VVU na UKIMWI Nchini kusudi malengo mahusi ya kutokomeza VVU vaweze kutimia.
 
 
Kwa upande wake, Dkt. Rita Mutayoba, Mkurugenzi wa kiufundi wa Mradi wa Afya Thabiti, Amref Tanzania alisema “Ushirikiano na uongozi kutoka katika utekelezaji wa mradi wa Afya Kamilifu uliomalizika Septemba 2023, umetuwezesha kufanikisha malengo tuliyokuwa nayo. Tunashukuru sana timu nzima ya mkoa na halmashauri kwa usimamizi wao madhubuti kuratibu huduma za VVU/UKIMWI mkoa wa Simiyu.
 
 
Ameongeza kwa ushirikiano na timu za afya za wilaya kwa pamoja tulifanya zoezi la kuthibitisha ama kusajili wateja wote kwa alama ya kidole kwa wale wote ambao wanapokea huduma za VVU katika vituo vyetu yaani zoezi la Bio-metric, “Tumeweza kufikia asilimia 92 ya malengo yetu na tunatarajia kufikia asilimia 100 kabisa. Lengo letu ni kuhakikisha tunawafikia walengwa wote na kuwapatia huduma sahihi”, alisema Dr Rita Mutayoba, Mkurugenzi wa Kiufundi, Mradi wa Afya Thabiti.
 
 
Amref Tanzania itaendelea kufanya kazi kwa ukaribu na wizara zote, mashirika ya serikali, wafadhili, mashirika ya kijamii (CBOs), mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs), sekta binafsi, na wanajamii. Katika kuchangia upatikanaji sawa na endelevu wa huduma bora za afya ya msingi (PHC) na hatimaye kuchangia katika kufanikisha huduma ya afya kwa wote (UHC) nchini Tanzania.

About the author

Alex Sonna