Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Uncategorized

WAZIRI STERGOMENA AONGOZA UPANDAJI MITI MAKAO MAKUU YA JKT CHAMWINO  KUELEKEA MUUNGANO

Written by mzalendo

WAZIRI  wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Mhe. Dkt.Stergomena Tax akipanda mti wakati wa zoezi la upandaji miti kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika  Makao Makuu ya JKT Wilayani  Chamwino Dodoma leo Januari 29,2024.

WAZIRI  wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Mhe. Dkt.Stergomena Tax ,akimwangilizia maji  mti alioupanda  wakati wa zoezi la upandaji miti kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika  Makao Makuu ya JKT Wilayani  Chamwino Dodoma leo Januari 29,2024.

NAIBU Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis,akipanda mti wakati wa zoezi la upandaji miti kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika leo Januari 29,2024 katika  Makao Makuu ya JKT Wilayani  Chamwino Dodoma .

 Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akipanda mti wakati wa zoezi la upandaji miti kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika leo Januari 29,2024 katika  Makao Makuu ya JKT Wilayani  Chamwino Dodoma .

WAZIRI  wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Mhe. Dkt.Stergomena Tax,akizungumza mara baada ya kuongoza    zoezi la upandaji miti kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika leo Januari 29,2024 katika  Makao Makuu ya JKT Wilayani  Chamwino Dodoma.

NAIBU Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis,,akizungumza mara baada ya kupanda  miti kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika leo Januari 29,2024 katika  Makao Makuu ya JKT Wilayani  Chamwino Dodoma.

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Bi.Rosemary Senyamule ,akizungumza mara baada ya kupanda  miti kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika leo Januari 29,2024 katika  Makao Makuu ya JKT Wilayani  Chamwino Dodoma.

Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akielezea mikakati ya JKT katika kuendelea kupanda   miti kwenye kambi zote za JKT  kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar  leo Januari 29,2024 .

WAZIRI  wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Mhe. Dkt.Stergomena Tax,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuongoza zoezi la upandaji miti kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika  Makao Makuu ya JKT Wilayani  Chamwino Dodoma leo Januari 29,2024.

Na.Alex Sonna-CHAMWINO

KATIKA kuelekea kilele cha Maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 60 Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Mhe. Dkt. Stergomena Tax amewaongoza JKT katika zoezi upandaji miti Makao Makuu ya JKT Wilayani  Chamwino Dodoma huku akielezea umuhimu wa kufanya tathmini ya idadi ya miti iliyopandwa hapo awali.

Akizungumza leo Januari 29,2024 mara baada ya kushiriki zoezi hilo Waziri Dkt Stergomena Tax amesema kuna miti mingi inapandwa kupitia kampeni mbalimbali lakini matokeo hayalingani na zoezi linalofanyika..

Amesema kuwa sehemu  nyingi miti inapandwa lakini inatelekezwa na inakauka na tunatumia rasiliamali nyingi na inapotea ni vyema uwekwe utaratibu wa usimamizi wa miti inayopandwa ili matokeo yaweze kuonekana.

“Tunapoanza Kampeni mpya ya kupanda miti katika msimu mpya ni vyema tukatathmini miti iliyopandwa msimu iliopita ili kujua udhaifu kupitia kampeni iliyopita ili kurekebisha kupitia kampeni mpya” amesema Waziri Dkt Stergomena

Hata hivyo amepongeza zoezi hilo na kusema Jeshi litakuwa mstari wa mbele katika kutunza mazingira kwa kupanda miti na kutoa rai kuhakikisha jamii inaona umuhimu wa kutunza mazingira kwa kuacha kukata miti onyo na kupanda miti.

Kwa upande wake  Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ameipongeza JKT kwa kuona umuhimu wa kupanda miti ili kulinda mazingira na kuepukana na mabadiliko ya tabia nchi.

 “Nawapongeza sana JKT kwa kuanza kutumia nishati mbadala ya kupikia katika makambi yenu mbalimbali ili kutunza mazingira na kutoa witoa kwa kuendelea na kampeni ya kupanda miti nchini”amesema Mhe.Hamza

Awali  Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena amesema kuwa  JKT itaendelea kushiriki kwa vitendo zoezi la kupanda miti katika makambi yote ya JKT ili kulinda mazingira.

“Zoezi hili linaloendelea hapa linafanyika katika vikosi vyote vya JKT na  tunalichukulia kwa uzito lengo ni kuhakikisha tunapanda miti ya kutosha ili kulinda mazingira yetu na kuepukana na mabadiliko ya tabia nchi” amesema.

Amesema kwa mwaka 2023 JKT ilipanda miti zaidi ya elfu 75800 imepandwa katika maeneo mbalimbali na kwa mwaka huu tumepanga kupanda miti zaidi ya 100000 katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

Hata hivyo ameeleza Pia  kuwa JKT imeanza kutii agizo la Serikali la taasisi zenye watu zaidi ya laki moja kuacha kutumia nishati ya kuni na mkaa kwa kuanza kutumia nishati mbadala kwa kuacha kutumia kuni lengo likiwa ni kutunza mazingira huku wakiendelea kupanda miti.

About the author

mzalendo