Featured Kitaifa

RAIS SAMIA APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS JOKO WIDODO WA INDONESIA

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la heshima wakati wa mapokezi yake Rasmi katika viwanja vya Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Waandishi wa Habari pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Rais huyo Bogor Presidential Palace nchini humo tarehe 25 Januari,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo kabla ya kwenda kupanda mti wa kumbukumbu katika viwanja vya Makazi ya Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wakielekea kupanda mti wa kumbukumbu katika viwanja vya Makazi ya Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari,2024.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati akipanda mti wa kumbukumbu mara baada ya kupokewa Rasmi katika viwanja vya Makazi ya Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari,2024.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinawishwa mikono na Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo mara baada ya kupanda mti wa kumbukumbu katika viwanja vya Makazi ya Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari,2024.
[1/25, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo katika Ofisi za Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wa Wimbo wa Taifa ukipigwa katika Mapokezi Rasmi yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakiangalia Vikosi vya Gwaride la Heshima vikipita mbele wakati wa Mapokezi Rasmi yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo katika Ofisi za Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wakielekea kwenye mkutano katika Ofisi za Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo, Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo pamoja na ujumbe wake katika Ofisi za Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa habari kuelezea masuala mbalimbali ya ziara yake nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2024. Pembeni ni mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo

About the author

mzalendo