Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam akiwa ziarani nchini Tanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam akiwa ziarani nchini Tanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya  Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam akiwa ziarani nchini Tanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na  Ujumbe wa Cuba ukiongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya  Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa Ikulu Jijini Dar es salaam

Previous articleGGML YAWAAGA WANAFUNZI 50 WALIOPATA MAFUNZO KAZINI,15 WAULA
Next articleNAIBU WAZIRI WA MAJI AMTAKA MKANDARASI KUONGEZA KASI ZAIDI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here