Kitaifa

WAZIRI MKUU ASHIRIKI HARAMBEE YA UJENZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE

Written by mzalendo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia gazeti la Uganda Argus alilokabidhiwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni, likionesha picha ya pamoja ya baadhi ya waasisi wa Uhuru barani Afrika akiwemo Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, wakati aliposhiriki chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais Museveni kwa ajili ya Harambee ya ujenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere mkoani Dodoma. Hafla hiyo imefanyika pembezoni mwa Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) ulioanza tarehe 15 – 20 Januari, 2024, Kampala – Uganda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati aliposhiriki chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni Museveni kwa ajili ya Harambee ya ujenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere mkoani Dodoma. Hafla hiyo imefanyika pembezoni mwa Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) ulioanza tarehe 15 – 20 Januari, 2024, Kampala – Uganda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati aliposhiriki chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais Museveni kwa ajili ya Harambee ya ujenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere mkoani Dodoma. Hafla hiyo imefanyika pembezoni mwa Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) ulioanza tarehe 15 – 20 Januari, 2024, Kampala – Uganda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo