Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

betasus

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

Featured Kitaifa

KAGUNZE AAGIZA FEDHA WALIZOTOA WAZAZI KIMAKOSA SHULE YA WASICHANA SHINYANGA ZIRUDISHWE

Written by Alex Sonna
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Mwalimu Alexius Kagunze
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Mwalimu Alexius Kagunze ameagiza shilingi 4,475,000/= zilizolipwa kimakosa na wazazi wa wanafunzi waliojiunga kidato cha kwanza Shule ya Sekondari ya Wasichana Shinyanga (Shinyanga Girls Secondary School) iliyopo kata ya Ndembezi zirudishwe kwa wazazi.
 

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Januari 20,2024 Mwl. Kagunze amesema maagizo hayo ameyatoa kwa uongozi wa shule na maafisa elimu wilaya na kata kwamba wasimamie kuhakikisha fedha zote zinarejeshwa kwa wazazi.
 
 
“Nimeagiza wazazi wote ambao kimakosa walijikuta wamechukua fomu ya kujiunga kidato cha tano kwa shule za bweni badala ya fomu ya kujiunga kidato cha kwanza warejeshewe fedha zao shilingi 80,000/= (mchanganuo ni shilingi 65,000/= kwa ajii ya uendeshaji wa shule, Tahadhari 5,000, nembo ya shule 5,000/= na kitambulisho cha shule 5, 000/= tayari fedha zao jumla shilingi 4,475,000/= zimetolewa kwenye akaunti ya shule na tayari wazazi wameanza kurudishiwa fedha zao”,ameeleza Mwl. Kagunze.
 
 
“Maafisa elimu wilaya na kata wasimamie kuhakikisha kwamba fedha zote zirejeshwe kwa wazazi na risiti zote nizione na kama ni SMS za miamala ya simu nizione ili kumaliza mkanganyiko huo uliotokea. Tayari baadhi ya wazazi wamekiri kupokea fedha walizochanga ambapo kwa wale waliopo ndani ya mkoa wa Shinyanga wamefika shuleni wakachukua na wameshukuru kwa sababu kwa sasa elimu ni bure, Mhe. Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan amejenga hii shule kwa gharama ya shilingi Bilioni 4.1 na elimu ni bure kwa wanafunzi wote”,ameongeza Kagunze.
 
 
Akifafanua kuhusu mkanganyiko uliojitokeza, Mwl. Kagunze amesema umetokana na baadhi ya wazazi kuchanganya fomu ya kujiunga kidato cha tano na fomu ya kujiunga kidato cha kwanza ambapo baadhi ya waliochanganya ndiyo wale baadhi yao wakajikuta wanalipia shilingi 80,000/= ambayo inapaswa kulipwa na wazazi wa wanafunzi wa kidato cha tano ambao walishalipa mwaka 2023 na wanaendelea na masomo.
 
 

 

“Nimeona kwenye moja ya vyombo vya habari vikitangaza kwamba wazazi wamechangishwa fedha shilingi 80,000/= kwenye shule yetu ya Sekondari ya wasichana Shinyanga, katika kufuatilia hilo jambo ambalo limeenea kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii, nikafuatilia zaidi nikagundua kwamba wapo baadhi ya wazazi waliweza kulipa shilingi 80,000/= ya mchango ndani ya shule wamejikuta wakilipa kwa sababu shule hii ni mpya ilianza mwaka 13.08.2023 ambapo shule ilianza na kidato cha tano na kwa mujibu wa maelekezo walichangia shilingi 80,000/=”,ameeleza.

 

 
 
“Hiyo fomu huwekwa kwenye Tovuti za Wizara hata shuleni haipo, mtoto anapofaulu anaingia kwenye mtandao anachukua fomu anaona mahitaji yote ya shule. Sasa wazazi wa mwaka huu wa wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza kwa sababu kila mwaka fomu inaweza kuboreshwa kidogo au ikabaki ile ile ya mwaka uliopita kulingana na mahitaji yanayotakiwa iliwekwa tena fomu ya kidato cha kwanza sasa katika kuichukua hiyo fomu naona baadhi ya wazazi walichanganya kwenye fomu ya kujiunga kidato cha tano na fomu ya kujiunga kidato cha kwanza wakajikuta wanalipia shilingi 80,000/= kimakosa”,ameongeza Mwl. Kagunze.
 
 
Katika hatua nyingine amewakaribisha wanafunzi wote wa kidato cha kwanza waendelee na masomo huku akibainisha kuwa tangu shule ifunguliwe wanafunzo wote wanaendelea na masomo na hata wanafunzi waliofika bila hiyo pesa walipokelewa na wasio na sare pia wamepokelewa na wanaendelea na masomo.
 
 
Aidha amesema mpaka saa tisa alasiri Jumamosi Januari 20,2024 wanafunzi 100 wameripoti shule kati ya wanafunzi 143 waliopangwa kujiunga kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Shinyanga.
 
 
Nao baadhi ya wazazi akiwemo Hellen Andrea Luhamba aliyetumiwa fedha yake kupitia simu yake  na Ibrahim Lyanga aliyefika shuleni wamekiri kurudishiwa pesa zao baada ya kuelezwa na uongozi wa shule kwamba hakuna michango kwani elimu ni bure huku Mkuu wa shule hiyo, Nurah Kamuntu akieleza kuwa zoezi la kurejesha fedha kwa wazazi linaendelea vizuri na kila mzazi atapata pesa yake.
 

About the author

Alex Sonna