Featured Kitaifa

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NA RAIS NDG.SAMIA AFANYA ZIARA YA KICHAMA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA CHAMA MKOA KASKAZINI UNGUJA

Written by mzalendo

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akitembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kaskazini Unguja tarehe 17 Januari, 2024.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Ufunguzi wa Tawi la CCM Chaani Masingini Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 17 Januari, 2024.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuashiria  Ufunguzi wa Jengo la Chuo cha Wajasiriamali Wanawake (UWT) Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 17 Januari, 2024.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanachama wa  Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Chaani mara baada ya kuweka Jiwe la Ufunguzi wa Tawi la Chama cha Mapinduzi (CCM) Chaani Masingini Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 17 Januari, 2024.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanachama wa  Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Mahonda mara baada ya kufungua Jengo la Chuo cha Wajasiriamali Wanawake (UWT) Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 17 Januari, 2024.

About the author

mzalendo